Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hapa nilitarajia nione barua ya msajili kwenda kwa CPA kutaka ajibu juu ya monkey pox na murburg?Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.
View attachment 3281915
Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza Kuu Taifa kilichofanyika Januari 22, 2025 kwamba kilikuwa batili kwa sababu hakikutimiza masharti ya Katiba ili kuwa kikao halali.
Soma, Pia: Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama
Pia, Mchome alidai kikao hicho ndani ya ukumbi walikuwepo wanachama ambao siyo wajumbe na baadhi ya watu hao walipiga kura kinyume na matakwa ya katiba ya chama hicho.
Barua iliyosainiwa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza imekitaka Chadema kujibu barua ya Mchome kwa muda usiozidi Machi 31, 2025.
Soma:
Chanzo: Mwananchi
Ila kumpa makalla mda wa kudeal na kauli zake ahhhhh? Double standards yaanOfisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.
View attachment 3281915
Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza Kuu Taifa kilichofanyika Januari 22, 2025 kwamba kilikuwa batili kwa sababu hakikutimiza masharti ya Katiba ili kuwa kikao halali.
Soma, Pia: Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama
Pia, Mchome alidai kikao hicho ndani ya ukumbi walikuwepo wanachama ambao siyo wajumbe na baadhi ya watu hao walipiga kura kinyume na matakwa ya katiba ya chama hicho.
View attachment 3281919
Barua iliyosainiwa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza imekitaka Chadema kujibu barua ya Mchome kwa muda usiozidi Machi 31, 2025.
Soma:
Chanzo: Mwananchi
Hii ndiyo tanzania ya kijaniIla kumpa makalla mda wa kudeal na kauli zake ahhhhh? Double standards yaan
KumekuchaOfisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.
View attachment 3281915
Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza Kuu Taifa kilichofanyika Januari 22, 2025 kwamba kilikuwa batili kwa sababu hakikutimiza masharti ya Katiba ili kuwa kikao halali.
Soma, Pia: Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama
Pia, Mchome alidai kikao hicho ndani ya ukumbi walikuwepo wanachama ambao siyo wajumbe na baadhi ya watu hao walipiga kura kinyume na matakwa ya katiba ya chama hicho.
View attachment 3281919
Barua iliyosainiwa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza imekitaka Chadema kujibu barua ya Mchome kwa muda usiozidi Machi 31, 2025.
Soma:
Chanzo: Mwananchi
Mutungi ameshaanza ule usengerema wake tena kuivurugua Chadema kama alivyofanya kuivuruga CUF.
Hatofanikiwa.Mutungi ameshaanza ule usengerema wake tena kuivurugua Chadema kama alivyofanya kuivuruga CUF.
Vipi na ya CCM itajibiwa liniOfisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.
View attachment 3281915
Mchome aliwasilisha malalamiko kwa msajili wa vyama akilalamikia kikao cha Baraza Kuu Taifa kilichofanyika Januari 22, 2025 kwamba kilikuwa batili kwa sababu hakikutimiza masharti ya Katiba ili kuwa kikao halali.
Soma, Pia: Team Mbowe wajidhatiti kumkwamisha LISSU, wapinga uteuzi wa Wajumbe watano wa kamati kuu aloufanya Lissu, waandika Barua kwa msajili wa Vyama
Pia, Mchome alidai kikao hicho ndani ya ukumbi walikuwepo wanachama ambao siyo wajumbe na baadhi ya watu hao walipiga kura kinyume na matakwa ya katiba ya chama hicho.
View attachment 3281919
Barua iliyosainiwa na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Sisty Nyahoza imekitaka Chadema kujibu barua ya Mchome kwa muda usiozidi Machi 31, 2025.
Soma:
Chanzo: Mwananchi
Ukitaka kuona Wanajeshi wanariot na kuingia ikulu ajaribu kufanya hayo.Mara paap! CDM imefutiwa usajili!