PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome

PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CCM kuna mtu alilalamika Samia kujipitisha kuwa mgombea urais na alivunja katiba ya CCM, lakini badala msajili kumsaidia waka iacha CCM ikamfukuza uanachama.
 
Usajri wa Vyama ya Siasa ni kazi ya aibu na fedheha kubwa sana maana mzee mzima anaishia kupokea maelekezo kutoka kwa vijana kama Ally Hapi, Jokate na Mohammed Kawaida
 
CCM kuna mtu alilalamika Samia kujipitisha kuwa mgombea urais na alivunja katiba ya CCM, lakini badala msajili kumsaidia waka iacha CCM ikamfukuza uanachama.
Nafikiri Msajili anawapa ujumbe Chadema kuwa njia sahihi ya ku deal na Mchome ni kumfukuza uanachama kama walivyofanya CCM.
 
Huyo mchome alitaka achaguliwe yeye? Hana hoja ya kujibiwa
Busara ni kujibu hoja zake na sio kuzikimbia na kumtukana. Ila kama sera za Chadema ni mwanachama kutoruhusiwa kuhoji chochote kuhusu chama, basi nami nahunga mkono hoja ya kutojibiwa na ikiwezekana mumfukuze, sawa?
 
Mchome anataka Dr. Wilbroad Slaa arudi kuwa katibu mkuu wa Chadema.
Huo ni uwongo.

Mchome atakuwa miongoni mwa hao mapandikizi ya chama shetani.

Mama hakuridhishwa na mchakato wa baraza kuu kumwidhinisha katibu mkuu, katiba ya CHADEMA ipo wazi juu ya wapi malalamiko yawasilishwe ndani ya chama. Yeye kwa nini amekimbilia kupeleka malalamiko yake kwa msajili? Bila shaka alikowakilisha malalamiko yake, ndiyo waliomtuma.

Mchome kwa sababu ya kukiuka taratibu za ndani ya chama, na kwa sababu ya kuwa na dhamira mbaya, aondolewe haraka kwenye chama.
 
Busara ni kujibu hoja zake na sio kuzikimbia na kumtukana. Ila kama sera za Chadema ni mwanachama kutoruhusiwa kuhoji chochote kuhusu chama, basi nami nahunga mkono hoja ya kutojibiwa na ikiwezekana mumfukuze, sawa?

Huyo ni pandikizi. Angekuwa na dhamira njerma, kama kweli akidi haikufikiwa, hata hapo hapo alikuwa na uwezo wa kuomba mkutano uahirishwe kwa sababu akidi haijafikiwa. Au bata baada ya mkutano kumwidhinisha katibu mkuu, bado alikuwa na uwezo wa kuwasilisha malalamiko yake ndani ya chama, kama katiba ya CHADEMA inavyoelekeza kuhusu namna ya kuwasilisha malalamiko pale mwanachama au miongozi anapodhani katiba imekiukwa.

Huyu bila ya kumwonea, zifanyike taratibu kwa mujibu wa katiba, ao dolewe kwenye chama, aende kwa waliomtuma. Akibakia kwenye cbama ataendelea kutafuta kila namna ya kuhujumu harakati zinazogusa maslahi binafsi ya watawala na chama chao.
 
Nami naunga mkono hoja ya kufukuzwa kwake. Hakuna kuhoji Chadema kwa chochote kile. Huo ni utovu wa nidhamu. Fukuza!
 
Tundu Lissu ndo anapendaa aya mambo sasa,wew msajili kaa mkao wa Kulaa utajibiwa ata ndani ya dakika 5 iyoo wiki ni ndefu sana..
Vipi lakini na ile hoja ya yule aliyelalamila kupitishwa kule bila kupingwa yule msajili hajaiona??
Msajili ana makengeza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hatofanikiwa.

Hakuna Uchaguzi ambao Watanzania wote walisema kwa kauli moja ulikuwa uchaguzi huru na haki kama uchaguzi wa Chadema.

Kila kitu kilifanywa kwa mujibu wa taratibu na wote tuliona tena live.

Anachofanya msajili hatofanikiwa na ameshafeli kabla ya kuanza.
Mbona yule aliyehoji utaratibu wa Dodoma amefukuzwa uanachama na msajili hajahoji? Huyu msajili kama ana makengeza hivi 😭😭😭😭
 
Chadema wana akili sana.

Wanasheria wote wabobezi nchi hii wapo CHADEMA. Wanamuangalia tu Msajili anavyoingia chaka na wapuuzi wenzake waliowekwa na CCM.

Hili suala halina mantiki yeyote wanazidi kuwafanya wananchi wajue kweli kuna shida kwenye mfumo wa Sheria za Uchaguzi na Demokrasia kwenye nchi hii.

Wamepigwa upofu ili wasione mbele.
Kwani kuna ugumu gani kumjibu tu huyo Mchome badala ya kelele nyiiiingi mitandaoni?
 
Nafikiri Msajili anawapa ujumbe Chadema kuwa njia sahihi ya ku deal na Mchome ni kumfukuza uanachama kama walivyofanya CCM.
Hahaha huo ndio uhuni usiotakiwa, kila anayepinga unafukuza?

Utawala wa sheria uko wapi sasa?

Nani anawapa M23 silaha,? nasi tulipaswa kuanza hiyo route ili tufike tuendako.
 
Back
Top Bottom