PreGE2025 Msajili wa Vyama vya Siasa aipa wiki moja CHADEMA ijibu barua ya Mchome

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hii ni sababu nyingine kwanini katiba mpya ni muhimu na itaendelea kuwa muhimu.
 
Hii mbilinge mbilinge ndo lissu anaipenda sasa. Naona msajili ameamua kuipa CDM kiki bila yeye kujua
 
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imetoa muda wa wiki moja kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kiwe kimewasilisha maelezo kuhusu malalamiko ya mjumbe wa Baraza Kuu wa chama hicho, Lembrus Mchome.
Mjinga huyu. Mbona wanachama wa CCM walipohoji uhalali wa kuteuliwa kwa Samia na Nchimbi kuwa wagombea wa Uraisi wa CCM hakuwapa CCM wiki moja wajibu hoja za wanachama?
 
No reform no elecrion imemtoa Msajili pangoni - na bado za masika zaja.
 
Tundu Lissu ndo anapendaa aya mambo sasa,wew msajili kaa mkao wa Kulaa utajibiwa ata ndani ya dakika 5 iyoo wiki ni ndefu sana..
Vipi lakini na ile hoja ya yule aliyelalamila kupitishwa kule bila kupingwa yule msajili hajaiona??
Tundu Lisu alikwepa hiyo barua akasema aulizwe katibu mkuu wa Chadema aliyepelekewa

Hiyo barua ya Mchome ni kaa la moto kwa Lisu
 
Msajili ni adui mkubwa wa vyama makini vya upinzani nani asiyejua yeye Shosti wake walivyoifanyia NCCR ya Mbatia na CUF ya Maalim Seif?
Sasa kahamia Chadema
 
Msajili ni adui mkubwa wa vyama makini vya upinzani nani asiyejua yeye Shosti wake walivyoifanyia NCCR ya Mbatia na CUF ya Maalim Seif?
Sasa kahamia Chadema
Porojo za nini jibuni barua anawashtaki sio msajili .Jibuni hiyo barua ya kiongozi wenu wa Chadema anayewahoji
 
Msajili anayo mamlaka ya kushughulikia malalamiko ya namna hiyo.
 
Sijui yule wa CCM aliyepinga kuchaguliwa kwa Samia na Mwinyi akifikisha barua kwa msajiri,msajiri anaweza kuiagiza CCM ijibu?
Yule wa CCM kaenda mahakamani.Inakuweje huyu anaenda kwa Msajili.Naye si angeenda huko.
 
Tundu Lisu alikwepa hiyo barua akasema aulizwe katibu mkuu wa Chadema aliyepelekewa

Hiyo barua ya Mchome ni kaa la moto kwa Lisu
Lissu alijibu kikamilifu alipokuwa anahojiwa na gazeti la Nipashe.
 
 
Huyo Kapeleka hilo swala mahakamani ulitaka msajili aingilie mahakama?

Hakuna hilo. Yote hayo yanawezeka ndiyo mpango wenyewe. MaCCM akili yao yote iko kwenye kuiba kura na kudhoofisha Upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…