Msajili wa Vyama vya Siasa akutana na Maafisa Wakuu Jeshi la Polisi

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Kupitia ukurasa wao wa tweeter, jeshi la Polisi Tanzania wameandika

"Leo 23/09/2021 Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini akutana na Maafisa Wakuu Waandamizi wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dodoma"

 
Ukitaka uendeshe nchi kwa kusikiliza wapinzani wa serikali wanasemaje lazima upotee mama endelea kuchapa kazi hao wapuuzi wacha wasemeee mpaka watachoka
 
Ni jambo jema kabisa ,siyo lile la kuwakutanisha polisi na vyama vya siasa. Sasa aje atuambie wamekubaliana nini,kabla ya kikao chake na vyama vya siasa.
 
Kama kichwa kinavyojieleza ndivyo ilivyokuwa , Japo Taarifa za awali zilisema kwamba Msajili wa vyama vya siasa ndio angekutana na Jeshi la Polisi ila sasa imekuwa kinyume chake kutoka na mazingira ya Mkutano huo kufanyika kwenye Ukumbi wa Polisi Dodoma , Haukufanyika kwenye ofisi za Msajili , hii maana yake ni kwamba Mutungi ndiye aliyealikwa , na bila shaka yeye hakuwa na Ajenda , bali Polisi ndiyo waliokuwa na ajenda

 

CCM imekutana na UVCCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…