Msajili wa vyama vya Siasa unasubiri nini kuifutia usajili CHADEMA wakati inaendelea kukiuka sheria na kuchochea chuki na ubaguzi?

na huyo kibaraka wao wa kuropoka, anazidi kuwaporomasha na kuwadidimiza chini zaidi ili wafutwe kirahisi zaidi, maana hapatakua na sababu ya kuwepo kwa chama chao tena🐒
Baada ya kuona wamepuuzwa na watanzania sasa wameanza kuhamasisha ubaguzi. CHADEMA ni ya kufutwa tu maana imejaza watu wasio na akili Timamu
 
Ashindwe kuifuta ccm inayoingia madarakani kwa mabox ya kura za wizi, aifute cdm inayoamsha waliolala?
 
CHADEMA ijitathmini.

Kwanini inawagoganisha Watanzania na Wachina?
Pichani Mbowe akifokafoka na kuchochea ubaguzi.

-Hili halikubaliki na naunga na LM kwa kusema

"tunashuhudia CHADEMA kupitia viongozi wake wakichochea chuki kali sana na kupandikiza uasi" Majukwaani

"kupandikiza mbegu za ubaguzi na chuki kwenye mioyo ya watanzania"


Sasa badala ya kutuuzia sera, wanatuuzia mbegu za chuki dhidi ya uhusiano wetu
(Diplomasia)na nchi ya China, nchi ambayo imetusaidia sana tangia tupate uhuru.

-Je, wanatumika na mabeberu wa Magharibi?

Kwanini wanataka tuchague Nchi au Kanda za kufanya nao Uwekezaji, Biashara?

Ikumbukwe-Tanzania imekuwa ikifuata siasa za kutokufungamana na upande wowote. Ikiwa ina maana hatuungi mkono vita baridi na vita vya kiuchumi kati ya nchi za Magharibi ama Mashariki kitu ambacho ime tuheshimisha sana Watanzania katika medani za siasa za Kimataifa.

Je, wanataka kubadili sera na itikadi yetu hiyo? Kwa malengo gani? Wanashinikizwa?

Hakika chama chao kikae chini na Ijitathmini

Naunga mkono hoja.
 
Kwa akili yako ulonayo watu wawili wakifanya makosa yale makosa yanabadilika yanakuwa ukweli? Kwa hiyo unataka tufumbie macho ujinga wa Lissu wa kuhamasisha ubaguzi kwenye Taifa letu?
Unajua kitu kinaitwa 'cherry picking'?
Ukitaka kuwa na moral compass kwanza laani kauli za Jussa na OMO halafu uniite tulaani ya TL.
 
Umewahi kusikia kijiji kinahamishwa Zanzibar kupisha mwekezaji?
 
Mtalia na kusaga meno
 
CHADEMA wanahamasisha na kuchochea ubaguzi kati ya wananchi wa Zanzibar na Bara,wanasema wazanzibari hawana haki huku Bara,wanasema hawastahili kushika uongozi ikiwepo Urais ,wanataka na kudhamiria na kutaka kuhamasisha kuuvunja muungano.
Huu sio uchochezi?
 

Attachments

  • 20240430_003536.jpg
    68.6 KB · Views: 3
Tunataka press ya makonda kwanza.
Hakuna mashoga CHADEMA
 
Kwa hii kauli nadhani tuanze kukifuta chama cha huyu mwakilishi then tuendelee na wengine.
 

Attachments

  • 20240430_005233.jpg
    138.8 KB · Views: 3
Uchawa ni kazi sana
 
Uchawa ni kazi sana
 
We jamaa acha kulia Lia hapa, tupe hizo Sheria unazozisema,
Halafu Toka lini ukweli ukawa uchochezi? Ukweli unawauma siyo. ..,?

Upuuzi na ujinga umejaa huko ccm, wabaguzi, wauaji, mafisadi, watekaji n k,
Tumechoka na upuuzi wenu majambazi ya kijani
 
Na kweli, na cdm isipofutwa lazima walipige hilo chama la majizi nje ya shamba la bibi.
Hatuwezi kuacha chama lililojigeuza kuwa genge la wasaka Tonge kuendelea kupandikiza ubaguzi.
 
We jamaa acha kulia Lia hapa, tupe hizo Sheria unazozisema,
Halafu Toka lini ukweli ukawa uchochezi? Ukweli unawauma siyo. ..,?

Upuuzi na ujinga umejaa huko ccm, wabaguzi, wauaji, mafisadi, watekaji n k,
Tumechoka na upuuzi wenu majambazi ya kijani
Acha kupenda kutafuniwa kila kitu kama kinda la ndege kwani hujasoma uzi. Na kama unazitaka zote kwanini usizifuate ujisonee. Acha uvivu wa kiakili. Ndio maana mnashindwa kutumia akili badala yake mnatumia hisia kufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…