Msajili wa vyama vya Siasa unasubiri nini kuifutia usajili CHADEMA wakati inaendelea kukiuka sheria na kuchochea chuki na ubaguzi?

Nyumbu mmekosa hoja za kuwashawishi watanzania kuwaungeni mkono mmeanza kupandikiza ubaguzi.napo mtashindwa na kuendelea kupuuzwa na watanzania kama mnavyopuuzwa kwa sasa.
Kuwashawishi watanzania, au kushawishi vyombo vya Dola viwasaidie kupora chaguzi kama ccm?
 
Chawa kama chawa
 
MKUU IFUTE WEWE KAMA MSAJILI AMESHINDWA
ALISHINDWA
 
Huna akili
 
Ni lazima tupinge kwa nguvu zote na kukemea chuki na ubaguzi unaotaka kupandikizwa na CHADEMA kwenye Taifa letu.
Ubaguzi ni pale wabunge wa CCM wanalipwa milioni 18 kwa mwezi wakati polisi mstaafu wa miaka nenda analipwa milioni 17
 
Tunataka vyama vyenye mawazo mbadala,sera mbadala ,ajenda zenye kugusa maisha ya watu.na siyo vyama kama CHADEMA vyenye kichocheo machafuko,ubaguzi na mifarakano ndani ya Taifa letu.
Usiwapangie watu utaratibu wao wewe nani anakupangia muda wa kwenda kukata gogo
 
Mwenye hila ya kukifuta Chadema atafutika yeye asema Bwana
 
Kuwaza kufuta CHADEMA ni upeo mfupi wa kufikiri, huwezi kuwa Greet thinker usijue ukubwa wa kazi zilizofanywa na Chadema kuibua mambo nchi hii, nachelea kusema
'Ushabiki' ni neno sawa na 'uhuni'
 
Kuwaza kufuta CHADEMA ni upeo mfupi wa kufikiri, huwezi kuwa Greet thinker usijue ukubwa wa kazi zilizofanywa na Chadema kuibua mambo nchi hii, nachelea kusema
'Ushabiki' ni neno sawa na 'uhuni'
Katiba inasema Rais akitoka Zanzibar makamu anatoka Bara, kumbe katiba ndiyo inabagua
 
Hakuna mtanzania mwenye mapenzi mema na Taifa letu anayeunga mkono na kufurahia mbegu ya ubaguzi inayopandwa na kuhamasishwa na CHADEMA.kila mtu mitaani analaani sana kauli zinazotolewa na viongozi wa CHADEMA.
We UWT umesoma katiba ya nchi lakini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…