Kapumpuli
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,040
- 2,674
Huyu sikuona akikikemewa na hata chama chake.. na huyu kwa tafsiri yake ni hakuna haja ya Muungano..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu sikuona akikikemewa na hata chama chake.. na huyu kwa tafsiri yake ni hakuna haja ya Muungano..
Yule mjinga mwenzako aliposema wabara waende na passport Zanzibar mbona hukulalamika? tuambie wewe unaweza kumiliki ardhi kule Zanzibar?Alishakemewa na kupingwa hoja yake hadharani tofauti na hao nyumbu wa CHADEMA ambao wanaunga mkono ujinga wao.
Kuna time frame ya chama kutoa tamko la jambo au wewe ndiye unang'ang'ana upewe tamko kuliko kudai bei bora ya kakao?Alishakemewa na kupingwa hoja yake hadharani tofauti na hao nyumbu wa CHADEMA ambao wanaunga mkono ujinga wao.
Kimsingi huu muungano haufai hata kidogoHuyu sikuona akikikemewa na hata chama chake.. na huyu kwa tafsiri yake ni hakuna haja ya Muungano..
Hawa UWT hawana akili timamuKuna time frame ya chama kutoa tamko la jambo au wewe ndiye unang'ang'ana upewe tamko kuliko kudai bei bora ya kakao?
Mtanzania mwenye akili Timamu na mwenye mapenzi mema na Taifa letu hawezi kuunga mkono ujinga unaofanywa na CHADEMA wa kupandikiza chuki na ubaguzi kwa Taifa letu.Kuna time frame ya chama kutoa tamko la jambo au wewe ndiye unang'ang'ana upewe tamko kuliko kudai bei bora ya kakao?
Ila wana CCM wenzako ambao hadi huua huwaoni na huwa unajitoa akili?Mtanzania mwenye akili Timamu na mwenye mapenzi mema na Taifa letu hawezi kuunga mkono ujinga unaofanywa na CHADEMA wa kupandikiza chuki na ubaguzi kwa Taifa letu.
Weka ushahidi wa hicho unachosema.Ila wana CCM wenzako ambao hadi huua huwaoni na huwa unajitoa akili?
It's very dangerous.Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari kubwa inayoletwa na CHADEMA hapa nchini? Msajili unaendeleaje kupokea mshahara ambao ni kodi zetu watanzania wakati unatuweka hatarini watanzania na amani ya Taifa letu?
Sheria ya vyama vya siasa inakataza na kupiga marufuku kabisa kwa chama chochote cha siasa kufanya siasa zenye kuchochea ubaguzi kwa misingi ya Udini, ukabila na hata ukanda.sheria inakataza pia kwa chama cha siasa kunadi sera zinazohamasisha au zenye lengo la kuvunja muungano wetu au zenye lengo za kufanya siasa za upande mmoja tu wa muungano.
Lakini leo hii tunashuhudia CHADEMA kupitia viongozi wake wakichochea chuki kali sana na kupandikiza uasi wa kuuvunja muungano wetu pamoja na kuchochea ukanda pasipo kuchukuliwa hatua za aina yoyote ile.ni hatari sana hii inayokuja kwa Taifa letu ikiwa hali hii ya kupandikiza mbegu za ubaguzi itaachwa iendelee kuhubiliwa na kuenezwa na CHADEMA.hii siyo siasa tuliyoitaka watanzania.hatukutaka siasa za kuja kutugawa watanzania na kulipasua Taifa letu.
Tulihitaji siasa za hoja,siasa za sera mbadala, siasa za fikira na mawazo mbadala juu ya ujenzi wa Taifa letu,siasa za hoja ya namna bora ya kulipeleka mbele Taifa letu .Siasa za mawazo mapya ya namna bora ya kutumia rasilimali zetu kwa usahihi katika kuinua uchumi wa Taifa letu na kuboresha maisha ya watanzania wote pamoja na usambazaji wa huduma za kijamii pamoja na kupunguza utegemezi.
Lakini inaogopesha na kutisha sana tunapoona CHADEMA imebadili majukwaa ya kisiasa kuwa uwanja wa kuwasha moto wa kuchochea machafuko kwa Taifa letu.chadema wameishiwa hoja za kuwashawishi watanzania na sasa wameamua waanze kupandikiza mbegu za ubaguzi na chuki kwenye mioyo ya watanzania. Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana ,ni sawa na kula nyama ya mtu ambapo huwezi ukaacha ukishakula nyama hiyo.
leo CHADEMA wameanza kupandikiza mbegu ya ubaguzi ,jinsia , ukanda na mengine mengi.hawataishia hapo bali wataenda mbele zaidi kuanza ubaguzi wa mkoa na mkoa kwa kusema mkoa huu unachangia mapato makubwa sana na hivyo ujitenge na kupewa hadhi ya aina yake.
Msajili wa vyama vya siasa amka ofisini haraka sana uchukue hatua kali sana kabla nchi haijaingia katika matatizo ambayo yatalisambaratisha na kuligawa Taifa vipande vipande. Tumia sheria kuwaadhibu CHADEMA kwa kuwa tayari wameshavunja sheria zote za usajili wao .na sasa wanastahili kufutiwa usajili. Mambo yanaanzaga hivi hivi mpaka mwisho inakuwa donda ndugu litakalolitesa Taifa lote..
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa,.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hatuwezi kuvumilia chama kinachoendeshwa kama kikundi. Ga kiasi kuendelea kufanya kazi hapa nchini. Maana CHADEMA kwa sasa kinataka kuwa kama genge la waasi wanaotaka kupindua serikali.It's very dangerous.
Je, unafahamu kwamba sababu mojawapo ya kuwepo kwa vurugu zinazoendelea kule Cabo Delgado nchini Msumbiji ni hii unayofikiria wewe??? Do you know that?
sikia huu ujinga unafanya ipo siku wajukuu wako watakuja jua kwamba babu yao alikua mjinga sanaCHADEMA kimejigeuza kuwa kikundi cha kiasi kutaka kuleta machafuko hapa nchini
Ndugu zangu Watanzania,
Nauliza kwa uchungu mkubwa sana kuwa ofisi ya msajili wa vyama vya siasa ipo wapi? Inafanya kazi gani? Imelala wapi huko usingizi wa pono mpaka inashindwa kuona hatari kubwa inayoletwa na CHADEMA hapa nchini? Msajili unaendeleaje kupokea mshahara ambao ni kodi zetu watanzania wakati unatuweka hatarini watanzania na amani ya Taifa letu?
Sheria ya vyama vya siasa inakataza na kupiga marufuku kabisa kwa chama chochote cha siasa kufanya siasa zenye kuchochea ubaguzi kwa misingi ya Udini, ukabila na hata ukanda.sheria inakataza pia kwa chama cha siasa kunadi sera zinazohamasisha au zenye lengo la kuvunja muungano wetu au zenye lengo za kufanya siasa za upande mmoja tu wa muungano.
Lakini leo hii tunashuhudia CHADEMA kupitia viongozi wake wakichochea chuki kali sana na kupandikiza uasi wa kuuvunja muungano wetu pamoja na kuchochea ukanda pasipo kuchukuliwa hatua za aina yoyote ile.ni hatari sana hii inayokuja kwa Taifa letu ikiwa hali hii ya kupandikiza mbegu za ubaguzi itaachwa iendelee kuhubiliwa na kuenezwa na CHADEMA.hii siyo siasa tuliyoitaka watanzania.hatukutaka siasa za kuja kutugawa watanzania na kulipasua Taifa letu.
Tulihitaji siasa za hoja,siasa za sera mbadala, siasa za fikira na mawazo mbadala juu ya ujenzi wa Taifa letu,siasa za hoja ya namna bora ya kulipeleka mbele Taifa letu .Siasa za mawazo mapya ya namna bora ya kutumia rasilimali zetu kwa usahihi katika kuinua uchumi wa Taifa letu na kuboresha maisha ya watanzania wote pamoja na usambazaji wa huduma za kijamii pamoja na kupunguza utegemezi.
Lakini inaogopesha na kutisha sana tunapoona CHADEMA imebadili majukwaa ya kisiasa kuwa uwanja wa kuwasha moto wa kuchochea machafuko kwa Taifa letu.chadema wameishiwa hoja za kuwashawishi watanzania na sasa wameamua waanze kupandikiza mbegu za ubaguzi na chuki kwenye mioyo ya watanzania. Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa dhambi ya ubaguzi ni mbaya sana ,ni sawa na kula nyama ya mtu ambapo huwezi ukaacha ukishakula nyama hiyo.
leo CHADEMA wameanza kupandikiza mbegu ya ubaguzi ,jinsia , ukanda na mengine mengi.hawataishia hapo bali wataenda mbele zaidi kuanza ubaguzi wa mkoa na mkoa kwa kusema mkoa huu unachangia mapato makubwa sana na hivyo ujitenge na kupewa hadhi ya aina yake.
Msajili wa vyama vya siasa amka ofisini haraka sana uchukue hatua kali sana kabla nchi haijaingia katika matatizo ambayo yatalisambaratisha na kuligawa Taifa vipande vipande. Tumia sheria kuwaadhibu CHADEMA kwa kuwa tayari wameshavunja sheria zote za usajili wao .na sasa wanastahili kufutiwa usajili. Mambo yanaanzaga hivi hivi mpaka mwisho inakuwa donda ndugu litakalolitesa Taifa lote..
Kazi iendelee,Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa,.Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Safi Sana ..alitaka afanye kazi ya mola...Mwisho wasiku alinyakuliwa yeyeKafa yeye huyu "SHOGA" kabaki....
Kudai nikupe ushahidi kwamba unamiliki kichwa nao ni ujinga Luca.Weka ushahidi wa hicho unachosema.
Je, kwanza unafahamu kuhusu suala hilo nililokuuliza au unabwabwaja tu maneno bila ufahamu ili uonekane kwamba na wewe naye umeongea???Hatuwezi kuvumilia chama kinachoendeshwa kama kikundi. Ga kiasi kuendelea kufanya kazi hapa nchini. Maana CHADEMA kwa sasa kinataka kuwa kama genge la waasi wanaotaka kupindua serikali.
Haya maisha haya, unaweza Kuta wewe ni wa kiume na kuna watu wanakuita BabaNi lazima tupinge kwa nguvu zote na kukemea chuki na ubaguzi unaotaka kupandikizwa na CHADEMA kwenye Taifa letu.
Muungano wetu nadhani ni Moja kati ya Miungano isiyoeleweka...Kimsingi huu muungano haufai hata kidogo
Nukuu kifungu cha Sheria kilichokiukwaNdugu zangu Watanzania,