Msajili wa vyama vya Siasa unasubiri nini kuifutia usajili CHADEMA wakati inaendelea kukiuka sheria na kuchochea chuki na ubaguzi?

Kuna time frame ya chama kutoa tamko la jambo au wewe ndiye unang'ang'ana upewe tamko kuliko kudai bei bora ya kakao?
Mtanzania mwenye akili Timamu na mwenye mapenzi mema na Taifa letu hawezi kuunga mkono ujinga unaofanywa na CHADEMA wa kupandikiza chuki na ubaguzi kwa Taifa letu.
 
It's very dangerous.
Je, unafahamu kwamba sababu mojawapo ya kuwepo kwa vurugu zinazoendelea kule Cabo Delgado nchini Msumbiji ni hii unayofikiria wewe??? Do you know that?
 
It's very dangerous.
Je, unafahamu kwamba sababu mojawapo ya kuwepo kwa vurugu zinazoendelea kule Cabo Delgado nchini Msumbiji ni hii unayofikiria wewe??? Do you know that?
Hatuwezi kuvumilia chama kinachoendeshwa kama kikundi. Ga kiasi kuendelea kufanya kazi hapa nchini. Maana CHADEMA kwa sasa kinataka kuwa kama genge la waasi wanaotaka kupindua serikali.
 
 
Hatuwezi kuvumilia chama kinachoendeshwa kama kikundi. Ga kiasi kuendelea kufanya kazi hapa nchini. Maana CHADEMA kwa sasa kinataka kuwa kama genge la waasi wanaotaka kupindua serikali.
Je, kwanza unafahamu kuhusu suala hilo nililokuuliza au unabwabwaja tu maneno bila ufahamu ili uonekane kwamba na wewe naye umeongea???
Nakushauri wewe pamoja na wenzako wengine kabla ya kujiunga na haya makundi yenu ya siasa muwe mnaenda shule za uhakika kwanza ili kuweza kujijengea uwezo wa ku-reason kwa hoja, siyo kubwabwaja maneno kama vile alivyo Paul Makonda.
 
Mbona hujaongelea hoja zake za maana.
Kikokotoo kinachoumiza wafanyakazi?

Kwanini raia wa Zanzibar anapata uongozi bara na kinyume chake haiwezekani?
Raia wa Zanzibar anamilikishwa ardhi bar, kwao huwezi.
Uuzaji wa bandari- ilipingwa sana ila serikali ikaziba masikio.
Wamasai kuhamishwa kupishwa wanyamapoli.
Migogoro ya ardhi isiyoisha.
Wizi unaoripotiwa na CAG Kila mwaka.
Wewe unakomalia point moja
 
Ninao mfano Kuingia Zanzibar kwa Mtanganyika lazima awe na passport. Huruhusiwi kula wakatoliki wakiwa kwenye quaresma lazima ulipe kodi ya kuingiza mzigo Tanganyika kutoka Zanzibar ila sio kutoka Tanganyika.
 
Nukuu kifungu cha Sheria kilichokiukwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…