Msajili wa vyama vya Siasa unasubiri nini kuifutia usajili CHADEMA wakati inaendelea kukiuka sheria na kuchochea chuki na ubaguzi?

Muungano wetu nadhani ni Moja kati ya Miungano isiyoeleweka...

Napataga shida kuelewa zaidi anapoenda Zanzibar raisi wa JMT alafu anaenda kukaa jukwaani wakati raisi wa SMZ akipigiwa mizinga....🤔🤔🤔
Uvunjwe tu hauna maana yoyote
 
Tatizo sio Lisu Baki katiba yao, kama kuna Zanzibar na Mzanzibari basi lazima kuwepo na Tanganyika na Mtanganyika.

Ubaguzi wanautengeneza wao na sio Lisu
 
Nilichoona kwenye uzi wako ni povu jingi na kurudiarudia ulichoandika. Sasa sema chadema walisema nini kuhusu udini, ukanda, na ukabila? Umegusia tu hapo mapato ya mkoa. Dadavua na vingine
 
Chadema ni kikundi cha magaidi kinachosubiri muda kiharibu taifa letu,lazima hiki chama kifutwe na kufungiwa usajili wake.
 
Kwa hiyo kwa akili yako timamu unataka tuwaache waendelee kufanya uchochezi wa machafuko na ubaguzi kwa kuogopa kuwa wakifutwa italeta vurugu? Nani wakuleta vurugu? Unafikiri watanzania wanaunga mkono uhayawani wa CHADEMA wa kueneza ubaguzi na kuwagawa watanzania?
 
Nilichoona kwenye uzi wako ni povu jingi na kurudiarudia ulichoandika. Sasa sema chadema walisema nini kuhusu udini, ukanda, na ukabila? Umegusia tu hapo mapato ya mkoa. Dadavua na vingine
Usitake kutafuniwa kila kitu kama kinda la ndege.
 
Sheria gani hiyo..

Kwanza sheria/Katiba unaifahamu?
Wewe acha ujinga wako wewe.kwani kwenye andiko langu si nimesema amevunja sheria ya nini? Kama nimetaja sheria aliyovunja kwanini usingekwenda kuchukua sheria husika ili ujisomee? Kwanini unakuwa mbumbumbu kiasi hicho?
 
Mjinga ni wewe unayeshindwa kunukuu hicho kifungu.

Hata mimi naweza kusema kavunja sheria fulani lakini hili haliwezi kuthibitisha kama kweli bila kuona kifungu cha sheria husika.
 
Unaumwa puru
 
CHADEMA ni lazima wakemewe kwa nguvu zote kwa hili wanalotaka kulileta hapa nchini baada ya kuwa wameishiwa hoja za kuwashawishi watanzania kuwaunga mkono.
chadema tumaini la watanzania ndo maana unahaha tu ccm hawana la kuwaambia tena watanzania, chadema kaza uzi wameanza kurukaruka dawa imewaingia
 
Hakuna mtanzania mwenye mapenzi mema na Taifa letu anayeunga mkono na kufurahia mbegu ya ubaguzi inayopandwa na kuhamasishwa na CHADEMA.kila mtu mitaani analaani sana kauli zinazotolewa na viongozi wa CHADEMA.
wewe tu ndo umebaki fisiemu huku mtaani wote chadema
 
chadema tumaini la watanzania ndo maana unahaha tu ccm hawana la kuwaambia tena watanzania, chadema kaza uzi wameanza kurukaruka dawa imewaingia
Ndio maana mnaendelea kupuuzwa na watanzania. hata mbinu ya kupandikiza chuki na ubaguzi kwa watanzania nayo imegonga mwamba maana ndio mnaendelea kupuuzwa.
 
Nadhani shida ni Aina ya muungano na kero za muungano ambazo utatuzi wake bado mpaka sasa. Tuungane iwe nchi moja yenye serikali moja au serikali tatu ili kusiwe na ubaguzi.
Ya nini hiyo serikali moja, stress za Zanzibar za nini ????????????????????????????

Kelele na distraction hazitakuja ziishe

Muungano wa nchi ya watu milioni 60 na nchi ya watu milioni moja unusu haiwezekani

Muungono uvunjike tujue moja

Zanzibar haiwezi kukubali kuwa Mtwara ndani ya Tanzania

Na Tanganyika haiwezi kuendelea kubeba hasara za muungano na ka-Zanzibar

Zanzibar inatu cost sana Tanganyika, tusebe basi imetosha, tuvunje huu Muungano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…