Msajili wa vyama vya Siasa unasubiri nini kuifutia usajili CHADEMA wakati inaendelea kukiuka sheria na kuchochea chuki na ubaguzi?

Msajili wa vyama vya Siasa unasubiri nini kuifutia usajili CHADEMA wakati inaendelea kukiuka sheria na kuchochea chuki na ubaguzi?

RUZUKU UCHUKUE WEWE ??KILA WATU NA RIZIKI YAO ANZISHA CHAMA
 
RUZUKU UCHUKUE WEWE ??KILA WATU NA RIZIKI YAO ANZISHA CHAMA
Tunataka vyama vyenye mawazo mbadala,sera mbadala ,ajenda zenye kugusa maisha ya watu.na siyo vyama kama CHADEMA vyenye kichocheo machafuko,ubaguzi na mifarakano ndani ya Taifa letu.
 
Mbunge wa CCM kutoka Zanzibar alipodai Passport kwa Watanganyika huo si Ubaguzi! Ni hoja
Mtanganyika akisema ni Ubaguzi.
Hoja hiyo ilipingwa ndani ya bunge mulemule. Tofauti na ninyi nyumbu wa CHADEMA mnaoshindwa kuwakemea na kuwakanya viongozi wenu kuacha kupandikiza mbegu za ubaguzi na chuki za kijinga. Washawishini watanzania kwa hoja na siyo kwa hoja za kibaguzi.
 
Nikoooukoo .mkuu ila napendaa upinzan pia uwepoo
Upinzani uwe ni wenye hoja,sera na ajenda za kueleweka na siyo hizo wanazofanya na kueneza CHADEMA kwa sasa za kutaka kusambaza ubaguzi na mifarakano kwenye Taifa letu.
 
Jussa na OMO wanatukana muungano kila siku mbona hatuwasikii mkisema, akisema TL ni shida
Kwa akili yako uliyonayo watu wawili wakifanya makosa yale makosa yanabadilika yanakuwa ukweli? Kwa hiyo unataka tufumbie macho ujinga wa Lissu wa kuhamasisha ubaguzi kwenye Taifa letu?
 
na huyo kibaraka wao wa kuropoka, anazidi kuwaporomasha na kuwadidimiza chini zaidi ili wafutwe kirahisi zaidi, maana hapatakua na sababu ya kuwepo kwa chama chao tena🐒
 
Lucas!!?

Ccm tumevunja katiba mara ngapi!!?

Tumelinda wezi na wabadhirifu plus mafisadi mara ngapi?

Tumewaonea wanyonge Kwa kutetea wezi mara ngapi!!?

Tumesain mikataba isiyokua na faida Kwa watz Bali mafisadi mara ngapi!!?

Kabla haijafutwa Chadema mwambie msajili aifute kwanza ccm yetu tuanze usajili was vyama upya!!!
 
Lucas!!?

Ccm tumevunja latina mara ngapi!!?

Tumelinda wezi na wabadhirifu plus mafisadi mara ngapi!!?
Tumewaonea wanyonge Kwa kutetea wezi mara ngapi!!?

Tumesain mikataba isiyokua na faida Kwa watz Bali mafisadi mara ngapi!!?

Kabla haijafutwa Chadema mwambie msajili aifute kwanza ccm yetu tuanze usajili was vyama upya!!!
Usifanye kazi ya kuorodhesha vitu pasipo ushahidi wa aina yoyote ile. Weka ushahidi usio na shaka
 
Back
Top Bottom