Msajilini Paul Nonga pia

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Ziko timu ambazo zinanunua kila mchezaji anaewafunga au kuwasumbua kwenye kila mechi. Wanatumia hela zao kuzoofisha timu ndogo kwenye ligi na kuidhoofisha ligi pia. Timu kama hizi zinanunua ubingwa badala ya kushinda uBingwa.
Zinakuwa na wachezaji wengi wazuri ambao wanakaa bench badala ya kuweko uwanjani kuichangamsha ligi. Hii inaifanya ligi ikose mvuto. Hii inasababisha hata watizamaji wapungue uwanjani, hawatati kuona mechi zisizokuwa na ushindani, wachezaji wote wazuri wamenunuliwa na kuwekwa nje ya uwanjani au wanacheza dk 10 tu. Umaskini wa wachezaji wetu unawafanya wakubali kwenda kuwekwa benchi au kuingizwa uwanjani dk za majeruhi kila mec

Vodacom na TFF kwanini hili hamlioni?
 
Na ndio maana mpira wetu hausongi mbele wachezaji wengi wenye uwezo hawapewi fursa ya kucheza
 
Kwa mfano muangalie Kaseke wa mbeya city na huyu aliyepo sasa
 
Na ndio maana mpira wetu hausongi mbele wachezaji wengi wenye uwezo hawapewi fursa ya kucheza
Timu iliyosajili wachezaji kwa sh. 2 bil na kutoa mishahara ya 10mil kwa mchezaji inachezaje ligi moja Na timu iliyofanya usajili wa 50mil na mishara ya sh. 200,000 kwa wachezaji?
 
Hata nyie mliwahi kumsajili Paul Nonga wakati ule.Mkamsotesha benchi baadae akatoka kwa mkopo kabla ya kusajiliwa moja kwa moja.
Kweli waswahili hawakukosea kusema "nyani haoni kundule"
Kwa faida yako,mbinu hiyo ilikuwa inatumiwa sana na Bin Kleb wakati huo mna vijisenti...!
Pia, Nonga hayupo kwenye plan za Simba.
 
Magoli ya Mwadui yameonyesha pale golini hakuna keeper, ni boya tu. Azam walishaliona hilo kitambo.
 
Acha kupindisha maneno,kila anaewafunga mnamsajili kwani uongo? unadhani sifa ya umbumbumbu imekuja vipi?
 
Timu iliyosajili wachezaji kwa sh. 2 bil na kutoa mishahara ya 10mil kwa mchezaji inachezaje ligi moja Na timu iliyofanya usajili wa 50mil na mishara ya sh. 200,000 kwa wachezaji?
Hiyo iko duniani kote mkuu angalia usajili wa Mancity na West Brom au PSG na Lille au Real Madrid na Levante
 
Hiyo iko duniani kote mkuu angalia usajili wa Mancity na West Brom au PSG na Lille au Real Madrid na Levante
Duniani kuna ukomo wa matumizi ya fedha za kusajili kikosi kwenye ligi na 'TFF' zina formula za Kuzipatia pesa hata timu ndogo kwenye ligi
 
Magoli ya Mwadui yameonyesha pale golini hakuna keeper, ni boya tu. Azam walishaliona hilo kitambo.
Cha ajabu ndiye golikipa aliyefungwa mabao machache zaidi katika ligi hii kulinganisha na mechi alizocheza zote 17
 
Ziko timu ambazo zinanunua kila mchezaji anaewafunga au kuwasumbua kwenye kila mechi. ....
Vodacom na TFF kwanini hili hamlioni?
Kweli watu tunatofautiana upeo wa kufikiri. Yaani Vodacom na TFF waichagulie timu wachezaji wa kusajili?
 
Kweli watu tunatofautiana upeo wa kufikiri. Yaani Vodacom na TFF waichagulie timu wachezaji wa kusajili?
Kweli una vitu vingi sana huvijui kwenye soccer. PSG ilipokuwa inamsajili Nymar kwa bei ile walikumbana na challenge gani? Uwiano lazima uwepo kwenye usajili na gharama kwa timu zinazoshiriki kwenye ligi moja ili kuwe Na ushindani wa haki
 
Acha kupindisha maneno,kila anaewafunga mnamsajili kwani uongo? unadhani sifa ya umbumbumbu imekuja vipi?

Yanga ilimsajili Emanuel Okwi na Emmanuel Martin kwa nini?

Kama budget ya Mil 50 au 100 inatosha, mbona mnajifanya mnataka Dangote wa nini?

Kama unaamini simba ni mbumbumbu shauri yako! naamini Rage anajutia huo usemi. Aliongea kama mwanasiasa.

Mbumbumbu wanaoenda kumuokota Dangote sijui toka wapi! wao siwanajifanya wananchi! jina kubwa hilo "wananchi" mara "wananchi" mara "wakimataifa" kwa fitna huwawezi, utaalamu hasa wa soka O, angalia walivohangaishwa na wa shelisheli, inaonyesha kuna kitu kinafanyika kwenye ligi yetu maana hao ni wapili kwenye ligi na wamesema watatetea tena ubingwa, first eleven ilitolewa jasho pale, Lo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…