kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Ziko timu ambazo zinanunua kila mchezaji anaewafunga au kuwasumbua kwenye kila mechi. Wanatumia hela zao kuzoofisha timu ndogo kwenye ligi na kuidhoofisha ligi pia. Timu kama hizi zinanunua ubingwa badala ya kushinda uBingwa.
Zinakuwa na wachezaji wengi wazuri ambao wanakaa bench badala ya kuweko uwanjani kuichangamsha ligi. Hii inaifanya ligi ikose mvuto. Hii inasababisha hata watizamaji wapungue uwanjani, hawatati kuona mechi zisizokuwa na ushindani, wachezaji wote wazuri wamenunuliwa na kuwekwa nje ya uwanjani au wanacheza dk 10 tu. Umaskini wa wachezaji wetu unawafanya wakubali kwenda kuwekwa benchi au kuingizwa uwanjani dk za majeruhi kila mec
Vodacom na TFF kwanini hili hamlioni?