Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 312
Naomba Katiba Mpya itoe nguvu kisheria inapoona na kujirizisha kisheria kukifuta chama chochote kitachovunja sheria bila kujari kitakuwa na serikali au laa,na viongozi waliochaguliwa na wananchi wawe na uwezo wa kuanzisha vyama au kuhamia kingine bila kupoteza mamlaka yake kiuongozi
"VV"
"VV"