Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
- Thread starter
-
- #21
Tafuta uhakika wa maandishi haya - si tu kujiajiri mimi bali hata uzao wangu sipendi waajiriwe.Kwani wewe unasemaje ? Mbona hujajiajiri huko? Kutwa kucha uko mitandaoni.
Hatushangai kwa kuwa Lisu vijana wake ni raia wa usa. Huyu mwingine anabwabwaja tu kila kuchao vijana, wanawake na ugali sijui huko Canada alikokuwa alilishwa maharage ya wapi.WanaJf,
Salaam!
Haya ni maneno ya viongozi wa juu wa Chama cha Chadema:-
(a). Tundu Lissu - Tanzania ni nchi pekee duniani yenye watu waoga na wajinga. Aliongeza kuwa "nilitegemea kuona vijana na wanawake wakidai haki zao". Kwa mukitadha huu vijana na wanawake kutodai haki zao kwa mjibu wa CDM ni ujinga! CDM jichunguzeni.
(b). Godbless Lema - aliyoyasema kuhusu vijana wa bodaboda ni kuwakosea heshima vijana wetu, ni kuwakosea heshima wazazi wa vijana wetu, ni dhihaka kwa wanawake nchini. BODABODA NI KAZI YA LAANA.
CDM JICHUNGUZENI!
Nawakumbusha tu ili 2025 tusishangae kwenye kwa matokeo mabaya
Wenye akili tumenmwelewa Lema lakini wajinga hawawezi kumwelewa kamweSifa ya mwanasiasa ni kueleweka
Ukishindwa kueleweka ndo umeshindwa .....huwezi laumu watu .
Kama ni debe tupu tuu unahangaika naye nini?Lema ni mpuuzi sana!
Halafu mtu mwenye "kichwa cheupe" kama Godbless Lema eti naye ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA!
CHADEMA ni debe tupu kabisa!