Msako Kenya, mlango kwa mlango kuwatafuta wanafunzi ambao hawakujiunga sekondari

Msako Kenya, mlango kwa mlango kuwatafuta wanafunzi ambao hawakujiunga sekondari

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Serikali ya Kenya imeanzisha jitihada za kuonyesha umakini wake kwenye suala la elimu, hii ni kutokana na azimio lililopitishwa kwamba wanafunzi wote waliofanya mtihani wa darasa la nane sharti wajiunge sekondari na hata kama itabidi kwa shuruti.
Ole wako mzazi upatikane na mwanafunzi nyumbani na hujatoa taarifa kwanini, ilhali serikali inagharamia elimu.

Ni hatua chanya maana hatutaki vilaza nchi hii.
------------------------------------

The government has initiated a door-to-door campaign in search of 100,000 students who are yet to join Form One.

This is in a bid to attain 100 percent transition rate.

The Ministry of Education will be relying on chiefs, their assistants, teachers and education officials to track down those who are yet to report to schools.

form_one_admission_2.jpg
Form One admission in progress
“Children have no alternative but to join secondary schools. They cannot make a decision on this issue. We will take them to school by force since the government will be paying for their fees,” a ministry official mentioned.

Nine counties have recorded less than 80 percent turn out of students and will be the areas of focus.

They include Taita Taveta, Narok, Kilifi, Nairobi, Mombasa, Lamu, Kwale, Isiolo and Tana River.


  • The low turnout is attributed to teenage pregnancies, early marriages, insecurity, inhibitive cultural practices, indirect costs of secondary education and extreme poverty.
    Education CS Amina Mohamed disclosed that ministry officials will continue filing accurate daily returns on the status of reporting to schools until the government attains 100 percent transition.
    She also mentioned that the ministry has prepared data packets bearing actual names and location of the students yet to report.
    “This data will be shared with local administrators who will team up with directors from the ministry in this final push,” the CS stated.
    amina_belio_4.jpg
    Education CS Amina Mohamed with PS State Department Of Education Belio Kipsang
Govt Starts Door-to-Door Search for 100,000 students Yet to Join Form One
 
Safi sana.
Swali: waliofeli mtihani wa darasa la nane pia nawao watawajibika na sakata hilo?
 
Safi sana.
Swali: waliofeli mtihani wa darasa la nane pia nawao watawajibika na sakata hilo?
100% transition rate inamaanisha kwamba wote waliofanya mitihani wana nafasi ya kuendeleza masomo yao. Waliofeli huwa wanajiunga na Polytechnic kujifunza ufundi na vitu kama hivyo.
 
Ni jambo jema, lkn siyo rahisi hivyo, chukulia mtoto wa Mtaani kwa mfano ambaye anashindwa kwenda Shule kwa sababu nyingi tu utamkamata kwa kosa gani? Huyu mtoto maisha yake yote kuanzia asubuhi hadi jioni ni hustling tu.

Kwangu mimi ingekuwa vema kama Serikali wangeanza na swali kwa nini watoto wanashindwa kufika Shuleni? Na siyo kukamata watu.

Hiyo hustling haitaisha kisa amekwenda sekondari maana alikua nayo hata akiwa kwenye shule ya msingi, kama unazo sababu kwanini humpeleki mwanao sekondari, kama mzazi unatakiwa uwasilishe kwenye mamlaka husika, sio ukae nyumbani tu kama ilivyokua mazoea ya awali, serikali inagharamikia elimu.
Kwa kifupi hakuna jinsi ya kuukimbia umande, wote lazima wapate elimu hata kwa shuruti.

Juzi kuna mzazi nimekua na ugomvi naye kwa hili, nilikua nimejitolea kuhusika kwa hali na mali ili kuona mwanaye anajiunga sekondari, mzazi akataka kuzingua, nusra niwahusishe polisi, lakini nimefurahi kwa hii azimio ya serikali maana imerahisisha kazi yangu.
 
Kuna Wazazi hata hawaelewi kama wanapaswa kufanya hivyo achilia mbali hata kuelewa maana ya elimu.

Mtoto wa Mtaani Nairobi ambaye haendi Shuleni, utamkamata au utamsaidia?

Wapi imeandikwa watoto wanakamatwa, lugha inakupa chenga au vipi.
Huyo mtoto wa mtaani amepambana kwa miaka minane hadi amefika darasa la nane na kufanya mtihani wa kitaifa, kipi kigumu kwake kukamilisha miaka miine ya sekondari kama serikali ipo tayari kumfadhili.
 
Back
Top Bottom