Msako mkali wa toyota pick-ups unaendelea huko gaza na vitongoji vyake

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Magari aina ya Toyota Pick-Up ya Red-cross yaliyotolewa kwa ajili ya zoezi la ubadirishanaji Mateka na baada Magaidi wa Hamas kuyang’ang’ania na kuanza kuyatumia kwenye shughuli za kigaidi leo Jeshi la anga la Israel limeyaangamiza 20 na mengine bado yanasakwa popote yalipo huko Gaza!!

Your browser is not able to display this video.
​
 
Hamna watu wa oga kama hao Hamas hahahaha Sasa hivi gwanda hazivaliki ila myahudi anawapa kichapo tu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hamna watu wa oga kama hao Hamas hahahaha Sasa hivi gwanda hazivaliki ila myahudi anawapa kichapo tu 🤣🤣🤣🤣🤣
Kama Hamas ndio definition ya watu waoga basi dunia hii hakuna watu jasiri kwa yanayo endelea Palestine,Gaza

Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
 
Kama Hamas ndio definition ya watu waoga basi duniani hii hakuna watu jasiri kwa yanayo endelea Palestine,Gaza

Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
We ndio huna akili watu kwenye kubadilishana mateka wanagwanda Sasa hivi wamezivua kama sio uoga wa kifo ni Nini muisrael yeye anapigana na gwanda yaani ni kidume haogopi kifo
 
We ndio huna akili watu kwenye kubadilishana mateka wanagwanda Sasa hivi wamezivua kama sio uoga wa kifo ni Nini muisrael yeye anapigana na gwanda yaani ni kidume haogopi kifo
Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )

Shukuru sana Mi mi kukujibu mara ya pili shukuru sana kama hujawahi kushukuru kabla.
 
Kama Hamas ndio definition ya watu waoga basi duniani hii hakuna watu jasiri kwa yanayo endelea Palestine,Gaza

Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
Ukiondoa mahaba ukazungumza kama mwanaume huku ukiwa open minded huwezi ukasema hamas ni majasiri,hamas walikuwa jasiri (japo king’ombe ng'ombe) ile Oct 07 but currently ni wachumba tu.

Kung’ang’ana kupigana katikati ya raia huo ni umama ilibidi kama majasiri kweli waiingilie Israel kwao wakapigane mtu bee siyo hiyo ya sasa wanafanya ujinga huku wakitaka kuonewa huruma na dunia nzima.
 
Wewe nae ni wale wale.

Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )

Yahya Al-Sinwar aliuawa katikati ya raia wangapi ?

Hivi hii Platform siku hzi imekumbwa na nini ? Ni rundo la watoto wasiojutambua ? Au watu wajinga wamekithiri nchini ?

Maoni yenu yana niogopesha kuna nini humo vichwani mwenu.
 
Sawa nichukulie chizi au mtoto lakini mimi naandika facts wewe unaropokwa,kwa hiyo na wewe kwa hoja hizi ndiyo umetumia akili zako 100%!!!

Unamchukulia yahya sinwar kama mfano wa hamas waliouawa hujui akilini mwako kama alikuwa anasakwa kwa udi na uvumba na kila zana vita za Mzayuni drones zikiwa included so ilikuwa lazima ajifiche sana nje ya maisha ya kawaida wewe kwa akili zako nyingi unazojiona unazo ulitaka ajipendekeze sokoni na hospitalini wamtungue kiwepesi?unadhani kufa ni rahisi kiasi sinwar asiogope?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…