Msako mkali wa toyota pick-ups unaendelea huko gaza na vitongoji vyake

Msako mkali wa toyota pick-ups unaendelea huko gaza na vitongoji vyake

Huyo anapigana vita asivyoweza shinda yale yale ya marekani na wataleban na sio kwamba hawaishi ila anapigana na watu mioyo yao iliokufa.

Israel hawezi shinda vita vya Gaza mpaka sasa hakuna lengo hata moja alilotimiza toka ameingia Gaza.

Vita vya kijinga.
Unahakika?
 
Huyo anapigana vita asivyoweza shinda yale yale ya marekani na wataleban na sio kwamba hawaishi ila anapigana na watu mioyo yao iliokufa.

Israel hawezi shinda vita vya Gaza mpaka sasa hakuna lengo hata moja alilotimiza toka ameingia Gaza.

Vita vya kijinga.
je unaweza ukatuambia israel alikuwa na malengo gani hapo gaza na hajayatimiza? Chuki zako dhidi ya marekani na ka nchi ka china znakufanya uwe kpofu hata usione kwmb israel anaitwaa gaza, israel ametwaa ardhi syria, israel amefyeka viongoz karibia wote wa hamas, hezbollah,nk. Kwa akili yako ndogo ka nchi ka china kanaweza pgana vita na watu wanaojfcha kwny mahandka au kuvaa kiraia na kujchanganya nao kama una akili timamu unawezaje kabiliana nao kirahisi ni kwmb hapo watafutwa hao shoga zako hamas na ndo umekuwa mwsho wao ngoja raia waondolewe hapo papgwe carpet bombs. Kama kuna hamas wachina ndo hamtawaona tena.
 
Ukiondoa mahaba ukazungumza kama mwanaume huku ukiwa open minded huwezi ukasema hamas ni majasiri,hamas walikuwa jasiri (japo king’ombe ng'ombe) ile Oct 07 but currently ni wachumba tu.

Kung’ang’ana kupigana katikati ya raia huo ni umama ilibidi kama majasiri kweli waiingilie Israel kwao wakapigane mtu bee siyo hiyo ya sasa wanafanya ujinga huku wakitaka kuonewa huruma na dunia nzima.
dunia haiwaonei huruma tena. ukiilllaani Israel tuu ujue bidhaa zako zinawekewa kodi kali ya export. hivyo ndo maana EU wako kimyaaa! EU ndio chanzo cha hamas kudinda la sivyo sasa hivi hawana muokozi labda uturuki tuu.
 
hamas ni wajinga sana. wasingeendelea kudinda wakati huu marekani walipo badili uongozi mpya. wao wangeyamaliza ili wagange njaa na kujenga masoko mjinga wakauze madafu. watoto hawajasoma mwaka mzima hamas hawajali kabsaaa sijui wanalilia nini hawa mabwege.
 
hamas ni wajinga sana. wasingeendelea kudinda wakati huu marekani walipo badili uongozi mpya. wao wangeyamaliza ili wagange njaa na kujenga masoko mjinga wakauze madafu. watoto hawajasoma mwaka mzima hamas hawajali kabsaaa sijui wanalilia nini hawa mabwege.
Wewe ndie unaweza ukawa ndie mjinga sana.
 
Kama unaweza kudispute fact kuwa Hamas wanapigana kati kati ya raia basi umepoteza credit kwangu, mazima. This is a known fact. Earlier on wakati vita inaanza tumeona videos wana Gaza wakiondoka makwao following warning za vipeperushi zinazotupwa na ndege za Israel, halafu Hamas wanawazuia raia wao wasiondoke wametia vizuizi barabarani watu wanalazimika kukimbia kwa miguu? Are you really ignoring this fact? Na wanakofichia vifaa vya Kavita na kurushia makombora yao huko mahospitalini, shuleni na makazi ya watu? Intelijensia ya Israel inayagundua humo with evidence dunia inajionea live!

Na kama haitoshi wamewatia wanaume wenzao ulemavu kisa tu baba anapigania kwenye foleni kupata chakula cha msaada unaotolewa na nchi mbalimbali kwa ajili ya familia yake, wanawashoot miguu ili tu wanyang'anye chakula wakiuze kwa faida? Hamas militants na uongozi wao wote are not even humans, they are animals with no souls.
Yahya kama alikuwa mwanaume kweli asingeingia kwenye handaki siku vijana wake wanavamia kibbutz ile October 7. Hujaiona video? Itafute, ni CCTV yao wenyewe Hamas ina time stamp! Na aliendelea kuishi kama panya hadi umauti wake. Kweli kosa vyote ila usikose Roho Mtakatifu.
As a Christian I hate wars, tumeambiwa tusamehe 7×70 na pia tuwapende adui zetu, but Biblia hiyohiyo inaniambia ile vita hata siyo ya kuisha leo. Israel walikosea maelekezo wakati wanaifikia nchi ya ahadi ambayo ilikuwa ni ardhi ya babu zao anyway. Ni mpaka Yesu arudi mara ya pili ndo ataimaliza ile vita, and the worst is yet to come, kwa Israel na hata kwa Wakristo kote duniani. It is scary but very real.
Sihitaji credits zako.

Na ubaya umeandika ujinga na katika ujinga wako umesindikizia na imani yako hakuna mahali nimeongelea imani ya mtu au nimeihitaji imani ya mtu au hata kutaja imani yangu hii inaonesha jinsi ulivyo mjinga juu ya huu mgogoro.

Unaandika ujinga unaushikiza na imani yako.

Msimamo wangu na mashaka yangu juu ya nyie vijana bado ule ule kwa sababu mnazidi kuandika ujinga kadiri unavyo jaribu kufungua vichwa vyenu na midomo yenu na kutoa yale yaliyo vichwani mwenu.

Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
 
Huyo anapigana vita asivyoweza shinda yale yale ya marekani na wataleban na sio kwamba hawaishi ila anapigana na watu mioyo yao iliokufa.

Israel hawezi shinda vita vya Gaza mpaka sasa hakuna lengo hata moja alilotimiza toka ameingia Gaza.

Vita vya kijinga.
Kwa hiyo we unaona Gaza ya 2023 ni sawa na Gaza ya leo?
 
Uko serious? Au unaota ndoto za mchana? Unaongea kama huna kichwa!! Magaidi wa Hamas Oct 07,2023 waliteka Mateka 251 mpaka sasa hivi wamebaki mateka 59 hilo hulioni kwa kuwa akili yako ni Kiduchu. Oct 07,2023 Gaza ilikuwa inaendelea sana sasa hivi UKF-ie da huko unakumbana na Vifusi tu hilo wewe hulioni!! Oct 07,2023 Hamas walikuwa na viongozi wao wote akiwemo Yahya Sinwar sasa hivi viongozi walio hai ni 7 tu kwenye Cabinet nzima ya Hamas wengine wote sasa hivi walishakabidhiwa Mabikira 72 wewe hayo huyajui!!! Kabla ya Oct 07,2023 magaidi wa Hamas walikuwa na uwezo wa kurusha makombola zaidi ya 500 mpaka 1000 kwa siku sasa hivi si tishio tena kwa Israel na magaidi hao bado wanakandwa vizuri wewe hilo hulioni!!! Zoezi la kuiondoa Hamas linaelekea mwishoni wewe kwa ujinga wako huoni hilo!!?
Hamas ni Magaidi na hawawezi kuishinda vita hii walipaswa wanzoni mwa Oct 08,2023 maana walikuwa wanasaidiwa na Magaidi wenzao walioko West-Bank,Syria,Iraq,Hezbollah,Houthi na Bwana wao Iran!! Sasa hivi wote hao wameshindwa na wengine kama Hezbollah wao wanachechemea tu hawana uwezo kukabiliana tena na majeshi hodari ya Israel.
Kwa ufupi, Iran, Hamas, Hezbollah, Asad, Houthis wamepoteza mengi kuliko faida.
 
Kama Hamas ndio definition ya watu waoga basi dunia hii hakuna watu jasiri kwa yanayo endelea Palestine,Gaza

Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
Hamas waoga sana. Wanashinda kwenye mashimo na kujificha humo, wanajizingira na wanawake na watoto, wanajificha hospitalini na shuleni ili wakishambuliwa waseme Mayahudi wanapiga hospital na kuua raia. Mayahudi kwa sasa hawajali wanapiga na kuua popote walipo hamas.
 
Huyo anapigana vita asivyoweza shinda yale yale ya marekani na wataleban na sio kwamba hawaishi ila anapigana na watu mioyo yao iliokufa.

Israel hawezi shinda vita vya Gaza mpaka sasa hakuna lengo hata moja alilotimiza toka ameingia Gaza.

Vita vya kijinga.
Shida mnasimuliana kwenye vijiwe vya kahawa.Wahashindi kurusha bomu moja kusambaratisha gaza yote.
Ili kuepuka lawama na mashirika ya kibinadamu inabidi kuwe hivyo.
Unakumbuka walichofanyiwa japani
 
Back
Top Bottom