Msako mkali wa toyota pick-ups unaendelea huko gaza na vitongoji vyake

Msako mkali wa toyota pick-ups unaendelea huko gaza na vitongoji vyake

Magari aina ya Toyota Pick-Up ya Red-cross yaliyotolewa kwa ajili ya zoezi la ubadirishanaji Mateka na baada Magaidi wa Hamas kuyang’ang’ania na kuanza kuyatumia kwenye shughuli za kigaidi leo Jeshi la anga la Israel limeyaangamiza 20 na mengine bado yanasakwa popote yalipo huko Gaza!!

sawa kumbe hata pickup zile zilioharibika ziko vitani sio 😄 🤣
 
Wafuga Midevu na Majini hiyo hawawezi kujua hawana akili!!
 
Ndivyo ilivyo hakuna kulemba magaidi!! Safari hii Hamas mpaka wanyooshwe tu
Magaidi wa Israel hata wapewe silaha zote za US hawawezi kubaki hapo Middle East. Hio ni ardhi ya Waislam na Uislam ndio utakao baki hapo Al Quds [Jerusalem ] Nyie jidanganyeni tu msio kuwa na dini, ukristo na uyahudi toka lini zilikuwa dini ya Mungu.
 
Sasa mbona unalia mzee 🤣🤣🤣🤣
 
Huyo anapigana vita asivyoweza shinda yale yale ya marekani na wataleban na sio kwamba hawaishi ila anapigana na watu mioyo yao iliokufa.

Israel hawezi shinda vita vya Gaza mpaka sasa hakuna lengo hata moja alilotimiza toka ameingia Gaza.

Vita vya kijinga.
Wagaza wamechoka, wameanza kuandamana, itakuwa rahisi sana kuwafichua walipo kwenye mashimo
 
Hivi nini siri ya magaidi kuzipenda hizi pickup doublr cabin?

Maana hata Al qaeda na Osama ndio zilikuwa gari zao pendwa.
Hiyo ni gari siyo tu ya gaidi bali hata muasi huitumia. Hapo inshu siyo kampuni iliyotengeneza hapo what matters ni multipurpose ya hiyo gari. Unaweza ukaitumia kama attack vehicle ni sekunde tu una mount guns hapo ktk body inakuwa attack vehicle. Pia, unakuta ni double cabin inaingiza watu zaidi ya kumi na bado Ina pick up kwa nyuma hapo. Inshort hiyo ni gari ya kazi, iwe porini vitani, shamba au mgodini
 
Magaidi wa Israel hata wapewe silaha zote za US hawawezi kubaki hapo Middle East. Hio ni ardhi ya Waislam na Uislam ndio utakao baki hapo Al Quds [Jerusalem ] Nyie jidanganyeni tu msio kuwa na dini, ukristo na uyahudi toka lini zilikuwa dini ya Mungu.
Ushuzi mtupu umeandika hapa nguruwe mkubwa wewe!!
 
Kama Hamas ndio definition ya watu waoga basi dunia hii hakuna watu jasiri kwa yanayo endelea Palestine,Gaza

Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
jasiri anajificha kweny maandakai akiwaacha raia wapigwe mabomu ?
 
Magaidi wa Israel hata wapewe silaha zote za US hawawezi kubaki hapo Middle East. Hio ni ardhi ya Waislam na Uislam ndio utakao baki hapo Al Quds [Jerusalem ] Nyie jidanganyeni tu msio kuwa na dini, ukristo na uyahudi toka lini zilikuwa dini ya Mungu.
Kwahiyo Wapalestina wote ni waislamu?
 
Kama Hamas ndio definition ya watu waoga basi dunia hii hakuna watu jasiri kwa yanayo endelea Palestine,Gaza

Unanipa mashaka juu ya vitu viwili:-
i, Akili zako ( kama zipo timamu )
ii, Umri wako ( Utoto unakusumbua )
Jasiri hawezi kujificha hospitalini au kuvaa baibui kujifanya mwanamke, au kuzama mahandakini au kuvaa badge za UN au za waandishi wa habari
 
Nakuuliza swali moja tu jibu lako litahitimisha kama nitaendelea kujadiliana na wewe au endelea kujadiliana na machizi wenzio.

Yahya Al-Sinwar kupitia maelezo yako alikufa akiwa amezingirwa na wanawake,watoto wangapi ?
Alikufa akiwa amezingirwa na panya na mawe
 
Back
Top Bottom