Arushaone kama wife karunaway from you, just go after her if akikataha ni PM. natoka pangani keso nitakuja kama uko arusha jst pm me. now go to the bed and try to sleep. mwaaaa.
nipo my baby wangu charminglady,
mume mwenyewe ni serengeti boy sasa naona noma kweli kweli.
Kama ni under 18 ni bora umuache maana ni kosa kisheria mteja wangu! Chakufanya mnunulie cow bell anywe!
atakuwa kaenda kuuza chang'aa, hapo hadi kesho asubuhi.
nimekutana nae kigoma anavuna oringal salt,na kukamua mawese...
Unataka nini kwa mteja wangu? Unamdai?
i am back, leta uongo wako wa arusha sasa.
Ruttashobolwa tulia tu kwanza
nataka anikabidhi mgodi kule mererani, ila usimtonye kwanza, ni mimi na wewe tu.
Kumbe unanimind,
nilienda huko kwetu s'wanga kuwasalimu ila sasa nimerudi tena kambini.
Mamndenyi ninakuomba baadae tukutane kule hotelini kwa ajili ya kumalizia kujadili yale masuala yanayosumbua wapenzi wengi humu jamvini kama tulivyokabidhiwa kamati ba Baba VRuttashobolwa tulia tu kwanza
nataka anikabidhi mgodi kule mererani, ila usimtonye kwanza, ni mimi na wewe tu.