MSAKO! MSAKO! MAMNDENYI YUKO WAPI WAJAMENi???

erickb52 unajua uhusiano wama love ronn m na aunt badili tabia lakini?shauri zako yatakayokukuta me simo

mko wangapi jamani? Mnanichanganyi changanyi. Punguzeni idadi ngoma na gitaa zitawa-kili.
 

Keleuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! Mbona natatutiw kesi mapema yote hii jamani? jeneneke hii maneno imekaaje mamaangu?
 
Last edited by a moderator:
Erickb52 simuogopi Ronn M naheshimu utu wangu naona na yeye umeamua kumpakazia ngoja niwaache waje kujitetea wenyewe

Na hii umeiona Ronn M.?Naona Erickb52 anataka kufanikiwa kwenye mpango wake maana ni kama vile umemuamini.Na vipi kuhusu hii?au na we hunitaki tena mpenzi? niambie nichukue changu mapema
 
jeneneke mi sikuharibii ila naongea ukweli meeen
acha kumwogopa Ronn M coz hata yeye niliwahi kumkuta Sisi kwa Sisi Guest House akitoka na BADILI TABIA

Na hii umeiona Ronn M.?Naona Erickb52 anataka kufanikiwa kwenye mpango wake maana ni kama vile umemuamini.Na vipi kuhusu hii?au na we hunitaki tena mpenzi? niambie nichukue changu mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…