Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Mtu hana bunduki, hana risasi, hana mabomu, hana jeshi unampa kesi ya kupindua serikali. Hawaoni wanaita vikundi vya kigaidi vyenye lengo haswa la kufanya matukio hali ya kiuhaini?Napenyezewa taarifa kuwa hizo kesi za uhaini mnazosikia wanapewa wananchi na wanasiasa wa upinzani sio mwisho.
Episode ijayo ni ndani ya gavoo na chama dola. Muda sio muda tutaanza kusikia milio.
Njia ni zilezile za tangu zama za Kolimba mpaka zama za jiwe.
Tega sikio…
Ameshakunya maji si amejiondoa kwenye usipika au?Aise tulia unywe maji uandike tena.bdo hujaeleweka
Huko ndo kuzuri. Titawataja. Aanze na nepi, marope, mzee wa temboNapenyezewa taarifa kuwa hizo kesi za uhaini mnazosikia wanapewa wananchi na wanasiasa wa upinzani sio mwisho.
Episode ijayo ni ndani ya gavoo na chama dola. Muda sio muda tutaanza kusikia milio.
Njia ni zilezile za tangu zama za Kolimba mpaka zama za jiwe.
Tega sikio…
Nikumwaga petrol tuWatamalizana
Poleni sana wote mliokatwa kwenye baraza la mawaziriNapenyezewa taarifa kuwa hizo kesi za uhaini mnazosikia wanapewa wananchi na wanasiasa wa upinzani sio mwisho.
Episode ijayo ni ndani ya gavoo na chama dola. Muda sio muda tutaanza kusikia milio.
Njia ni zilezile za tangu zama za Kolimba mpaka zama za jiwe.
Tega sikio…
Jeni ameanza orodha bado ni ndefuWatamalizana