Ndugu wanajamii, nimepata tetesi kuna mpango kabambe utakaoendeshwa na polisi hapa Arusha kwenye majimbo yote ya uchaguzi hapa Arusha , kwa kuwa ccm wameshaandikisha watu wao, watakama woote ambao wanaoonekana kuwa upinzani, ila zoezi litafanyika kama ni kuwakamata wazururaji.
Usiulize sorce. Habari ndio hiyo.
My take: Tahadhari ya hali ya juu ichukuliwe kwa kuwa hawa jamaa wana mbinu nyingi sana za kujaribu kupunguza kura za upinzani. Nashauri watu watembee na vitambulisho.