Elections 2010 Msako wa kukamata wazururaji A - Town

Elections 2010 Msako wa kukamata wazururaji A - Town

Crashwise

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
22,227
Reaction score
8,741
Ndugu wanajamii, nimepata tetesi kuna mpango kabambe utakaoendeshwa na polisi hapa Arusha kwenye majimbo yote ya uchaguzi hapa Arusha , kwa kuwa ccm wameshaandikisha watu wao, watakama woote ambao wanaoonekana kuwa upinzani, ila zoezi litafanyika kama ni kuwakamata wazururaji.
Usiulize sorce. Habari ndio hiyo.

My take: Tahadhari ya hali ya juu ichukuliwe kwa kuwa hawa jamaa wana mbinu nyingi sana za kujaribu kupunguza kura za upinzani. Nashauri watu watembee na vitambulisho.
 
Ni vigezo vipi vitatumiwa kumtambua mtu kama ni mzururaji?
 
Wameshagundua kwamba asilimia kubwa ya hawa ni watu wa Chadema sasa wakikamatwa na kuwekwa ndani watapunguza kwa idadi kubwa wapiga kura wa chadema. Eti uchaguzi wetu wa haki/ Walikuwa wapi siku zote hizi kukamata wazururaji mpaka wasubiri siku chake kabla siku ya kupiga kura. Aaaaaaarrrrrrgggggggghhhhhh:mad2:
 
Back
Top Bottom