chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Hao ni baadhi tu ya watakaolitimua vumbi kuzisaka kura za CCM kanda ya ziwa.
Watasaga sore za viatu kuzisaka kura za mama samia na wagombea wa CCM kupitia a very sophisticated campaign network iliyoanza kusukwa miaka mitatu iliyopita mpaka ngazi ya vitongoji.
Huwezi amini kwamba Mzee Wasira ana namba za mpaka Wenyeviti wa Vitongoji nchi nzima ambao humjuza yanayojiri kisiasa katika eneo lake.
Bashungwa anatarajiwa kuratibu moja kati ya mifumo bora kabisa ya kampeni kwa Mkoa wa Kagera wenye nguvu ya horsepower millions Mia tatu ikifumua kuanzia Minziro mpaka Bumbire.
Pale kati viungo wachezeshaji, Mabula na wenzake watachanja mbuga kuanzia Kayenze mpaka Kishiri wakizichakata kura za CCM
Wasira anatarajiwa kuzisokota kura za Mkoa wa Mara bila kuacha hata moja, huku Chenge akiwa harudishi chenji ya kura za Simiyu, hata kama hatagombea, atakuwa injini kubwa kabisa ya ushawishi huku pembeni akiwa ana master Kadogosa.
Bado wengine sijawataja, bila kusahau bwana SMART na Manssor kule Kwimba