Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Alikuwa anatuimbia kuwa tutaisoma namba. Kumbe hakujua anajiimbia yeye
Hahaha! Anaisoma namba yeye mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anatuimbia kuwa tutaisoma namba. Kumbe hakujua anajiimbia yeye
nifah nikikumbuka jinsi huyu binti alivyokuwa akipandiswa jukwaani na kutukana na kukebehi nashindwa kumuonea huruma. Ila kwa mtindo huo wa kugeuza mita na kwamba yeye ndio anawadai DAWASCO nimemvulia kofia.
Bilioni saba kawekeza? huyu si alisema nyumba hiyo ni ya kwake baadae akaumbiliwa?kwani ukiwa msanii bongo lazima useme uongo?
hahahahahahaha hahahahahahah uuuuuuwih chaaa sio kwa jibu hili jamani!!madam anapenda kitonga hahaha eti mita inasoma kurudi nyuma sasa si itafika sehemu inasomeka yeye ndo anawadai dawasco
Hahahaha umenichekesha sana asubuhi ya leo maana nilikuwa na waza weekend inaanzaje????madam anapenda kitonga hahaha eti mita inasoma kurudi nyuma sasa si itafika sehemu inasomeka yeye ndo anawadai dawasco