Msalaba wa Ajabu Kaburi la Kanumba

Ayo mambo watu wanaenda kufanya makusudi, na wengine ni wasanii wanahitaji wawe famous kama steven, kwa iyo wanatumwa na waganga wakafanye ivo vitu
 
Endapo kama ni kweli aliji husisha na imani hizo hakuna cha kushangaza hapo.
 
nami kesho napeleka ajabu langu mnitoe gazetini
 
Pole sana mama Kanumba, Kanumba alikufa kifo cha kijinga kabisa,lulu jamani tuambie kilichotokea ndani ya kile chumba,sipati picha Leo Kanumba angekuwa mbali sana,mama Kanumba angeshafika kula bata Hollywood,ToKEA Kanumba atutoke nilishaacha kuangalia kabisa movie za kibongo
 
kumbe jamaa alizaliwa mwaka 1977 na sio 1984 kama alivyokuwa akisema mwenyewe?!
 
DAAA! KANUMBAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
 
Kanumba mbona yupo na anapiga dili zake hapa town kama kawa?
 
Mpaka pale ukweli wa Kilichotokea chumbani mpaka akafikwa na mauti then Marehemu atapumzika rasmi maana kadri anavyozidi kuzungumziwa na swali la "alikufaje" nalo linaibuka spontaneously. .........my opinion.
 
All those who have sold their soul to the devil and become members of secret
Society ni kawaida sana makaburi yao kuwekea hiyo pyramid ni kuonyesha kuwa alikuwa member.Lulu hana kosa pale katumika tu kama chambo,those demons he possessed ndiyo walimuuwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…