leop
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 550
- 523
Basi mm kilaA nakubal, nieleweshe basKilaza mwenyewee[emoji37] [emoji12]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi mm kilaA nakubal, nieleweshe basKilaza mwenyewee[emoji37] [emoji12]
Njoo nikueleweshe kwa sauti Maana maneno yamekushindaBasi mm kilaA nakubal, nieleweshe bas
Mh nimekushindwa, kwaheriNjoo nikueleweshe kwa sauti Maana maneno yamekushinda
Endapo kama ni kweli aliji husisha na imani hizo hakuna cha kushangaza hapo.Jambo limezua jambo! Baada ya hivi karibuni barua yenye ujumbe mzito kukutwa kaburini kwa aliyekuwa staa wa sinema za Bongo, marehemu Steven Kanumba, limezuka jipya ambapo kitu kilichopo kaburini kinachodaiwa ni msalaba (kilichozungushiwa duara pichani) kimemshangaza mama wa Kanumba, Flora Mtegoa.
Kitu hicho cha chuma chenye umbo la pembe tatu katikati kikiwa na alama ya msalaba, kwa juu kuna picha ya Kanumba, chini kuna maandishi ya DJ na katikati maandishi ya RIP SCK kilizua gumzo hivi karibuni kwenye kumbukumbu ya marehemu kutimiza miaka 4 ambapo baadhi ya watu waliohudhuria Makaburi ya Kinondoni alikozikwa walipigwa butwaa.
Baadhi yao walisema chuma hicho kilitengenezwa kwa mfano wa alama mojawapo ya imani ya Freemason ambayo baada ya kifo chake, kuna watu walihusisha kifo hicho na imani hiyo.
View attachment 338683 View attachment 338684 View attachment 338684
Msalaba wa ajabu wamshangaza mama Kanumba
Lulu kawakatisha utamu wa niniMakubwa,tutakumiss Kanumba jamani yaan huyu Lulu basi tu,katukatisha utamu
Haupo makini umekurupuka kujib kaburi iliyoandikwa huo mwa 1977 cio yakekumbe jamaa alizaliwa mwaka 1977 na sio 1984 kama alivyokuwa akisema mwenyewe?!