Msalaba wa Ajabu Kaburi la Kanumba

Msalaba wa Ajabu Kaburi la Kanumba

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,258
Jambo limezua jambo! Baada ya hivi karibuni barua yenye ujumbe mzito kukutwa kaburini kwa aliyekuwa staa wa sinema za Bongo, marehemu Steven Kanumba, limezuka jipya ambapo kitu kilichopo kaburini kinachodaiwa ni msalaba (kilichozungushiwa duara pichani) kimemshangaza mama wa Kanumba, Flora Mtegoa.

Kitu hicho cha chuma chenye umbo la pembe tatu katikati kikiwa na alama ya msalaba, kwa juu kuna picha ya Kanumba, chini kuna maandishi ya DJ na katikati maandishi ya RIP SCK kilizua gumzo hivi karibuni kwenye kumbukumbu ya marehemu kutimiza miaka 4 ambapo baadhi ya watu waliohudhuria Makaburi ya Kinondoni alikozikwa walipigwa butwaa.
Baadhi yao walisema chuma hicho kilitengenezwa kwa mfano wa alama mojawapo ya imani ya Freemason ambayo baada ya kifo chake, kuna watu walihusisha kifo hicho na imani hiyo.

IMG_0439.jpg
IMG_0497 (1).jpg
IMG_0497 (1).jpg


Msalaba wa ajabu wamshangaza mama Kanumba
 
Makubwa,tutakumiss Kanumba jamani yaan huyu Lulu basi tu,katukatisha utamu
 
dah does it mean kwamba mshkaji alikua muumini wa illuminati au freemasons, mbna mi sijawahi kuamini?
 
Uki zoom hiyo picha unaweza kuisoma hiyo barua,labda kama una matatizo ya uono hafifu...
Sio kwenye msalaba ni kwenye hyo barua, wee unamatatizo yakutoelewa
 
Back
Top Bottom