Msalaba wa Ajabu Kaburi la Kanumba

Msalaba wa Ajabu Kaburi la Kanumba

Michezo mingine ya kitoto sana, illuminati hawawezi tengeneza kitu cha kijinga kama hicho, kilichopinda pinda na kimetengenezwa kwa kutumia chuma chakavu. Ni wapuuzi wachache wa dar waliozoea kuishi kwa kutengeneza matukio ndio waliofanya hivyo.
 
Jambo limezua jambo! Baada ya hivi karibuni barua yenye ujumbe mzito kukutwa kaburini kwa aliyekuwa staa wa sinema za Bongo, marehemu Steven Kanumba, limezuka jipya ambapo kitu kilichopo kaburini kinachodaiwa ni msalaba (kilichozungushiwa duara pichani) kimemshangaza mama wa Kanumba, Flora Mtegoa.

Kitu hicho cha chuma chenye umbo la pembe tatu katikati kikiwa na alama ya msalaba, kwa juu kuna picha ya Kanumba, chini kuna maandishi ya DJ na katikati maandishi ya RIP SCK kilizua gumzo hivi karibuni kwenye kumbukumbu ya marehemu kutimiza miaka 4 ambapo baadhi ya watu waliohudhuria Makaburi ya Kinondoni alikozikwa walipigwa butwaa.
Baadhi yao walisema chuma hicho kilitengenezwa kwa mfano wa alama mojawapo ya imani ya Freemason ambayo baada ya kifo chake, kuna watu walihusisha kifo hicho na imani hiyo.

View attachment 338683 View attachment 338684 View attachment 338684

Msalaba wa ajabu wamshangaza mama Kanumba
Mama kwanini umekubali kutumika kiasi hiki?
 
Huyu mama kabumba analazimisha attention kwa mambo yasiyokuwepo.
 
The best actor ever...!Good young man...sio yule anaekunywa maji ya betri anageuka kuwa mweupe!
 
Back
Top Bottom