RSR Member Joined Dec 9, 2013 Posts 88 Reaction score 2 Mar 22, 2014 #1 Naomba mwenye kufahamu wilaya hii anijuze nipate kufaham palivyo huko'
V viable Member Joined Nov 1, 2013 Posts 79 Reaction score 29 Mar 22, 2014 #2 wilaya mpya iiyotokana na wllaya ya kahama
Mpigamsuli JF-Expert Member Joined May 24, 2012 Posts 3,885 Reaction score 582 Mar 22, 2014 #3 RSR said: Naomba mwenye kufahamu wilaya hii anijuze nipate kufaham palivyo huko' Click to expand... ni wilaya mpya hiyo mkuu nenda kafanye kazi tu mkuu
RSR said: Naomba mwenye kufahamu wilaya hii anijuze nipate kufaham palivyo huko' Click to expand... ni wilaya mpya hiyo mkuu nenda kafanye kazi tu mkuu
V viable Member Joined Nov 1, 2013 Posts 79 Reaction score 29 Mar 22, 2014 #4 anayefahamu makao makuu yalipo na kama kuna mabasi ya moja kwa moja toka dar ampe taarifa hiyo muhimu
anayefahamu makao makuu yalipo na kama kuna mabasi ya moja kwa moja toka dar ampe taarifa hiyo muhimu
N ng`wana ong`wa kulwa JF-Expert Member Joined Mar 14, 2013 Posts 2,420 Reaction score 1,752 Mar 22, 2014 #5 Apande magari Dar -Geita kama yapo,akifika Geita apande Magari ya kwenda Msalala,au apande Dar kwenda Kahama,halafu Kahama - Kakola-Msalala.
Apande magari Dar -Geita kama yapo,akifika Geita apande Magari ya kwenda Msalala,au apande Dar kwenda Kahama,halafu Kahama - Kakola-Msalala.