Msalala-Shinyanga

Msalala-Shinyanga

RSR

Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
88
Reaction score
2
Naomba mwenye kufahamu wilaya hii anijuze nipate kufaham palivyo huko'
 
anayefahamu makao makuu yalipo na kama kuna mabasi ya moja kwa moja toka dar ampe taarifa hiyo muhimu
 
  • Thanks
Reactions: RSR
Apande magari Dar -Geita kama yapo,akifika Geita apande Magari ya kwenda Msalala,au apande Dar kwenda Kahama,halafu Kahama - Kakola-Msalala.
 
  • Thanks
Reactions: RSR
Back
Top Bottom