Na wewe upo na nani!?Naona siku hizi Kila mtu na wake
Yupo sana kabadili jinaVipi mkuu, wewe huna wako? Maana emmyta hayupo tena humu [emoji4]
M.MunguNa wewe upo na nani!?
Mungu au?[emoji53]M.Mungu
Segerea?Nasikia kawekwa ndani
Yupo JF kabadili jina na avatar yakeMwenye contact na huyu dada mfikishie salamu [emoji395] [emoji396] [emoji394] [emoji181]
Asante [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Na ac kafuta aisee! [emoji134]
Mjini hapa mambo mda mwingine ni taiti