Msalimie mdau kwa kuanza na " Le Commandant field Marshall Sky Eclat nakusalim san

chotera

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2016
Posts
6,560
Reaction score
15,864
Wakuu
Msalimie mdau wa hapa jf kwa kuanza na hayo maneno ili kuienzi heshima ya Le Mutuz kwa viongozi.

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
 
Le mutuz ndio nani?

Weka picha yake tumuone kwanza.
 
Le mbululaz sio

Sent from Iphone price 5Mil using JF nchi za nje.
 
jamiiforums inashuka kiwango siku hizi topic zisizo na maana ndio zinapewa kipaumbele

maderator nao wanaharibu huu mtandao kwa kufuta topic au kuziunganisha...

au ndio masharti mliyopewa na serikali ili wafute ile kesi dhidi ya uongozi wa jf
 
Wakuu
Msalimie mdau wa hapa jf kwa kuanza na hayo maneno ili kuienzi heshima ya Le Mutuz kwa viongozi.

Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app


Sent from my Infinix NOTE 3 using JamiiForums mobile app
 
Watu tupo na akili tofauti tofauti.
Kama unavutiwa na kupenda mada za ujasiriamali basi mleta uzi anavutiwa na hizi komedi alizoleta, usikasirike.

Jifunze kusoma kichwa cha uzi na kutoingia kuusoma au kuusoma na kuupotezea, au kuelewa zaidi ya unachokiona.

Mfano mi naona huyu hakutaka huu mchezo ila kuna ishara anampa Sky Eclat
 


haha sisi wahenga tumemshtukia zamani sana

CC Sky Eclat
 
Ni shida mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…