Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu
Msalimie mdau wa hapa jf kwa kuanza na hayo maneno ili kuienzi heshima ya Le Mutuz kwa viongozi.
Sent from my GT-I9505 using JamiiForums mobile app
Jamaa mmoja hivi,shati lake analovaa linaweza kufunika stanlet.Le mutuz ndio nani?
Weka picha yake tumuone kwanza.
Jamaa mmoja hivi,shati lake analovaa linaweza kufunika stanlet.
Swissme
Watu tupo na akili tofauti tofauti.
Kama unavutiwa na kupenda mada za ujasiriamali basi mleta uzi anavutiwa na hizi komedi alizoleta, usikasirike.
Jifunze kusoma kichwa cha uzi na kutoingia kuusoma au kuusoma na kuupotezea, au kuelewa zaidi ya unachokiona.
Mfano mi naona huyu hakutaka huu mchezo ila kuna ishara anampa Sky Eclat
Ni shida mkuuWatu tupo na akili tofauti tofauti.