Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona wewe hujasema kwa upande wakoKuna tabia ya baadhi ya watu kuwa wagumu kuomba msamaha wakiwa wamekosea,
Huwa ni ngumu kwako kuomba msamaha au huwa ni vigumu wewe kuombwa msamaha, kipi kinatokea mara kwa mara kwa upande wako?
The same to meMe huwa vigumu kuomba msamaha hasa kumuomba msamaha mwanamke, ila huwa naombwa msamaha sana pindi napokosewa.
Sio ego ni jauLakini huwa sijui sababu ni kwanini au ni ego
ni kweli mkuu lakini inashangaza mtu tena kidume anaomba msamaha kwa vitu vidogo eti yupo bize nakazi mwanamke kamcheki hajajibu akimcheki anamwambia "samahani nisamehe nilikua bize na kazi sikuona simu zako" yaani unaomba msamaha wakati sio kosa kutopokea simu ukiwa unafanya kazi.Inategemea na uzito wa kosa lenyewe......
Kuna mengine yanazungumzika tunamaliza,
Kuna yanayoumiza kiasi kwamba nahitaji au yeye apone kwanza, then mchakato wa msamaha uanze!
Ipo hivyo...... Kuliko niseme nisamehe huku nikujua sijapona siwezi fanya hivyo na sipo kuwafurahisha watu
Hapo una request ama ku apologize tuu! Ili kuepusha makelele yasiyo na maana kwamba nilikuwa mbali na simu au sikuwa na muda juu ya kazi, basi akiongea mwambie sihitaji kelele wala ushindani mwanamke mwenye akili ataufyata kimyani kweli mkuu lakini inashangaza mtu tena kidume anaomba msamaha kwa vitu vidogo eti yupo bize nakazi mwanamke kamcheki hajajibu akimcheki anamwambia "samahani nisamehe nilikua bize na kazi sikuona simu zako" yaani unaomba msamaha wakati sio kosa kutopokea simu ukiwa unafanya kazi.
Unaweza kukiri kosa lakini usiombe msamaha, unakubali kabisa kwa mkeo/demu wako ndio najua jana sikurudi home nilitingwa na kazi, unaishia hapo tu, unakuwa umeeleza sababu za wewe kufanya kosa ila hujaomba msamaha.Hivi kuna utofauti gani kati ya kuomba msamaha na kukiri kosa?
Nina shida ya kujishusha 🤣 huwa nikiomba msamaha shemeji yako anashtuka haamini na siku hiyo hata nikimwambia nataka mil 100 atanipa 🤣Nice sana! we're on the same page, ila kinachonishangaza mshangazi kwanini iwe ngumu kuomba msamaha?
Ni kweli kuomba msamaha ni kujishusha nashangaa kuna hadi wanaopiga magotiAchana na mambo ya kuombana msamaha mkuu
Kizazi Cha sasa hawathamini kitu chochote toka kwa mtu...
Utamwomba msamaha na atakuacha,then atakaa na washkaji kwa kujitapa "aliomba msamaha ila nilikataa"