Dah! [emoji23] me kujishusha huwa naona jau sana tutayaongea yataisha mpaka huwa wifiako ananambia "Nomadix si useme basi hata samahani jamani"Nina shida ya kujishusha, huwa nikiomba msamaha shemeji yako anashtuka haamini na siku hiyo hata nikimwambia nataka mil 100 atanipa
Siyo kwa wanadamu wenye jeuri na kiburi wa sasaNi kweli kuomba msamaha ni kujishusha nashangaa kuna hadi wanaopiga magoti
Mkuu, kama umenikosea sana siwezi kukusamehe.hata msamaha wa kinafiki 🙂 samehe 7x70=490 ukinisamehe mara1 zinabaki 489
hapa nimekuelewa lakini hapa urafiki ni wa kufa kuzikana au urafiki utatamatika ila kufa kuzikana kuko palepaleMkuu, kama umenikosea sana siwezi kukusamehe.
Na kama ulikuwa rafiki yangu wa kufa kuzikana basi safari yetu itatamatika.
Namaanisha “Kushibana”hapa nimekuelewa lakini hapa urafiki ni wa kufa kuzikana au urafiki utatamatika ila kufa kuzikana kuko palepale
Unamuamini rafiki anakuja kukupiga tukio hata nguvu ya kumsamehe inakata, hata ukimsamehe urafiki unakufa. Imagine unaamini mtu then anakuibia kiasi kikubwa cha pesa/anakuendea kwa mganga/anacheat na mtu wako.Namaanisha “Kushibana”
Kwamba hata kama tulikuwa tumeshibana kiasi cha kufa na kuzikana huo mnyororo naukata mkuu.
Kweli kabisa.Unamuamini rafiki anakuja kukupiga tukio hata nguvu ya kumsamehe inakata, hata ukimsamehe urafiki unakufa. Imagine unaamini mtu then anakuibia kiasi kikubwa cha pesa/anakuendea kwa mganga/anacheat na mtu wako.
No vinyongo ila misamaha mingine wacha ibaki kama akiba haya ni matumizi mabaya ya msamaha I'll save it for later
😄😄Hii dhambi itanitafuna wallah ndo sahiz nimepata wa kunipeleka mpelampela😄😄Ni kweli kuomba msamaha ni kujishusha nashangaa kuna hadi wanaopiga magoti
Kasongo wee mobali na ngai...hapo ndio pagumu kusema nisamehe jau sana itabidi nianze kusema "nisamehe" ya kuigiza.Usiogope kusema nisamehe hasa kwa kuigiza ili mambo yako yaende.Msamaha ni suala la moyoni na sio rahisi binadamu kutambua kama unamaanisha au unaigiza.Kama bado hujapata demu mwingine endelea kumbembeleza na siku ukipata kitu utakayoelewa unaingia mitini kwa mwendo wa ngiri