...msamaha sawa,mapenzi kwishnehi

mymy

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
296
Reaction score
111
habari wanajamii wa jf. msichana alikorofishana na mpenziwe. msichana kakiri kosa na kuomba msamaha. mwanamme katoa msamaha kwa msichana lakini kasema uhusiano kwa sasa usite ila mawasiliano yatakuepo. sasa hapo mdada haelewi....ndo kibuti icho cha moja kwa moja au might be a 2nd chance?
 
Muwage single ka mimi maana mie rshp na wanawake wamenishinda mwambie huyo bibie atulizane ahangaike kujiendeleza
 
Mwambie asipoteze mad wake kwa mwanamme aendee shule wanaumme kukicha wanazaliwa,akiwa na elimu atachagua yeye la anasikilizia ladhaa ya muhoga kwa sana ataomba msamaha hataa kwa mtoto anaweza kumzaa....
 
Kama kapenda kweli mwambie aendelee kubembeleza asikate tamaa. Siri moja kuhusu sisi wanaume na mambo haya ni kuwa kama tulipenda, alafu tukakosewa na kuacha huwa ni rahisi sana kusamehe only if 3 conditions are met.
1) Hatuna mpenzi wa kureplace immediately.
2) Tumeamua ku maintain close communication.
3) We can't hide the fact that you are missed. We show openly that we regret our decision. We struggle to let you go.

I hope you get my point.
 
inategemea na nature ya kosa lenyewe, kama kamegwa nje ya mahusiano hapo ategemee kibuti hata kama in theory 'kasamehewa'
 
Bora atambae tu...sasa hiyo ni status gani?
 
Inaitwa spacing. Ngoja the boss amalize kukusanya ngawira from his businesses Antakya akuelezee uzuri na faida zake.
 
Mmmh...Every woman needs a man...

what for? financial security?(what if she's got a well paid job), sex?(well u dont have to get married to have sex), kids?(there are plenty of women with kids and no men in their lives and they're doing so well) msiwe na ile mentality kwamba hamuwezi kusurvive bila men unless of coz uko kwenye situation ambayo financial wise you need some help...
 
inategemea na nature ya kosa lenyewe, kama kamegwa nje ya mahusiano hapo ategemee kibuti hata kama in theory 'kasamehewa'

Hapana ndugu mdada hakumegwa bt ni kukosana kwa kawaida tu
 

Trully she still loves the man, n the man loved her. sometimes it's better to fight 4 ur happiness rather than let it go softly. thnx ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…