habari wanajamii wa jf. msichana alikorofishana na mpenziwe. msichana kakiri kosa na kuomba msamaha. mwanamme katoa msamaha kwa msichana lakini kasema uhusiano kwa sasa usite ila mawasiliano yatakuepo. sasa hapo mdada haelewi....ndo kibuti icho cha moja kwa moja au might be a 2nd chance?