Misamaha ya kodi yaaani excemption ipo na inaendelea lakini Ina process kidogo,naomba nikupe mfano wa mwalimu,unatakiwa uambatanishe BL hii ni document ambayo ni ya kutumia gari kutoka ulipolitoa,kawaida inaandaliwa pindi meli iliyobeba gari yako inapoanza safari,sasa basi mwalimu anatakiwa kupata saini kwa mkubwa wake kisha hizo docs zipelekwe wizarani,sasa Mpaka process ya kusainiwa ziishe,meli itakuwa imeshafika Bandarini na gari likikaa sana Bandarini matokeo ni kuchomolewa vifaa na gharama za storages,sijajua Kama serikali inapendelea watu waingize vitu kwa njia hii maana process Yake inachukua mda mrefu.sasa naomba nikuelezee kuhusu gari lako,gari kawaida unatakiwa kulipia kodi tatu yaaani vat 18% income tax% 25 na import duty 25% ya CIF yako,pamoja na chaji za Bandarini ...sasa ukikamilisha process hizi wewe utatakiwa kulipia chaji za Bandarini na vat,gharama bado itakuwa kubwa yaaani unatakiwa uwe na 6.5ml,Mimi Mwaka Jana nilituma toyota rav 4 ya Mwaka 2004 kwa mwalimu nilishangaa kodi ilikuja juu pamoja na Kuwa tuliambiwa ni punguzo ilikuwa 6ml,+971504374387 Dubai