redcarpet
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 234
- 198
Hello guys heri ya sikukuu nisiwachoshe sna ila kama kichwa cha habari hapo juu serikali imetoka msamaha wa kodi kwenye umiliki wa ardhi kwa wale wenye malimbikizo ya kodi.
Sasa swali langu mmi nilinnua eneo, mwenye eneo alipima na kuuza, mmi nikannua baada ya hapo nikaenda mipango miji kuidhinisha kama eneo ni halali.
Nikapewa gharama kulingana na ukubwa wa eneo na malipo ni TRA pamoja na mipango miji mkoa.
Nikapewa utaratibu kuwa lazima niwe na mkataba na muuzaji wa eneo jambo ambalo sikuliweza kulifanya wakati nanunua.
Hadi muda huu sijaweza kufanya chochote sio Mipango miji sio TRA wala mkataba na muuzaji
Sasa swali langu ni je kuna tozo au faini kwenye eneo hili ikiwa hajapitishwa kupata Hati ya umiliki?
Nawasilisha