Msamaha wa serikali kwenye umiliki wa viwanja

Msamaha wa serikali kwenye umiliki wa viwanja

redcarpet

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
234
Reaction score
198
Hello guys heri ya sikukuu nisiwachoshe sna ila kama kichwa cha habari hapo juu serikali imetoka msamaha wa kodi kwenye umiliki wa ardhi kwa wale wenye malimbikizo ya kodi.
Sasa swali langu mmi nilinnua eneo, mwenye eneo alipima na kuuza, mmi nikannua baada ya hapo nikaenda mipango miji kuidhinisha kama eneo ni halali.

Nikapewa gharama kulingana na ukubwa wa eneo na malipo ni TRA pamoja na mipango miji mkoa.
Nikapewa utaratibu kuwa lazima niwe na mkataba na muuzaji wa eneo jambo ambalo sikuliweza kulifanya wakati nanunua.
Hadi muda huu sijaweza kufanya chochote sio Mipango miji sio TRA wala mkataba na muuzaji
Sasa swali langu ni je kuna tozo au faini kwenye eneo hili ikiwa hajapitishwa kupata Hati ya umiliki?
Nawasilisha
 
Mkataba na muuzaji serikali ya mtaa wanakupa unawapa ela ya soda kidogo.
Niliwasilisha hizo barua toka kwa mtendaji wakasema hizi sawa ila kwa mipango miji utambuzi ni mkataba toka kwa mwanasheria mwenye muhuri. Nikakwama na nilichogundua kadri ulivyo na eneo kubwa(square meter) ndivyo gharama inakuwa juu kwenye malipo... mipango miji na TRA
 
Siyo lazima mwanasheria hata mahakamani unapata wanatowa hizo document unapatana na hakimu.

Ila TRA wana ujinga wa kutaka risiti ya EFD siku hizi.
 
Wanasheria wapo wengi saivi, gharama zao pia hazina makali sana endapo unataka kulinda mali yako
 
Ona hilo tangazo
Screenshot_2023-04-22-12-45-11-340-edit_com.instagram.android.jpg
 
Back
Top Bottom