MSAMBARATIKO: Baadhi ya maeneo nchini yajipanga kujitangaza jamhuri kisa uchaguzi

MSAMBARATIKO: Baadhi ya maeneo nchini yajipanga kujitangaza jamhuri kisa uchaguzi

Nashauri Magufuli awavamie ajichukulie baadhi ya mikoa aiunganishe Tanzania.

Hatutaki mchezo.
Nathani huwajui wakenya,wakati kama huo ukifika ndio huawanasahau tofauti zao na kuwageuzia kibano
 
Sisi hatuna hiyo kitu bongo tunaheshim sana utawala wa sheria na katiba.. ndio maana unaweza kuona rais akitoka bara makam n mzenji na vice vesa iz tru
Tusijidanganye, leo hii mbunge wa Tandahimba haruhusiwi kuhutubia wanachama wa chama chake huko monduli, what's next, tuwe makini na viongozi wetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa inatakiwa sasa uongozi uende kwa rotation kikabila otherwise wapigane vita wauane haswa hapo ndipo watakapoheshimiana
La hasha ,hiyo sio demokrasia.Uongozi wa rotation ni social engineering mbaya sana sababu muundo huu hauzingatii sera ,maendeleo ya kiongozi ama uwezo.Utapata mjinga,mnafik na mtu mwenye ukabila mkali akitawala nchi vibaya mno "because its our turn" .Uzuri wa demokrasia halisi ni kwamba utalazimika ku-tone down your tribal instincts in order to be accepted by a wider base of voters .
 
Kwahiyo wakitaka kutengana Wajaluo wapo tayari kuiachia Nairobi kwa wakikuyu ili wao wabaki na Kisumu ?
 
Huyu Ndii baada ya kugaragazwa na Jubilee anatafuta mahala pa kujishikisha....and u wonder kwa nini Raila alishindwa...Nasa kua na washauri thick minded kama hawa bila shaka Ikulu wataiona kwenye Runinga
 
Huyu Ndii baada ya kugaragazwa na Jubilee anatafuta mahala pa kujishikisha....and u wonder kwa nini Raila alishindwa...Nasa kua na washauri thick minded kama hawa bila shaka Ikulu wataiona kwenye Runinga
Kule kinya kuna kamsemo kama ka huku kwetu kuwa kuna watu toka sehemu filani hawawezi kuingia ikulu japo ilo limevunjwa na utawala sasa maana jamaa pia anatokea kabila kubwa.
 
Back
Top Bottom