mzee wa nzegea
Member
- Apr 5, 2014
- 39
- 8
Habari ndungu zangu, mimi ni mmiliki wa kampuni ndogo ya ya KITOHO TRANSPORTERS&GENERAL SUPPLIER, kwa sasa tunasambaza mayai katika mkoa wa Lindi, lakini tunaomba kwa mwenye uhitaji, ufahamu wa watu wanaohitaji kufikishiwa bidhaa hii kwa jumla au rejareja tafadhali naomba uni tumie ujumbe ktk Private Masage , AHSANTENI NYOTE