lolypop
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,430
- 1,688
na kweli mkuuSi ndio mwenye nazo. Angekuwa bado anauza mitumba unadhani hata angekuwa na time nae. Ukitaka kujua idadi ya ndugu ulionao kuwa na vijisenti, hata yule mtoto wa rafiki wa kaka yake mjomba'ke bibi atasema ni binamu yako wa damu.