Msameheni bure Job Ndugai, amechanganyikiwa baada ya kuomba msamaha batilifu uliokataliwa! Barua yake ya Kujiuzulu nayo pia ni batilifu!

ccm ni mambumbumbuuu, mwenyechair mbumbumbu, chief secretary mbumbumbu, mwenezi mbumbumbu, wanachama ndio basi tena
 
Hivi ni nini hakieleweki mkuu ?

Utaratibu:
Angeandika barua kwenda kwa BUNGE (katibu), akatoa taarifa (nakala) kwa katibu wa CHAMA.

Alichofanya yeye Ndugai:
Ameandika barua kwenda kwa chama, nakala kwa Bunge. (Kwa kiingereza hii inaitwa Vice-versa)

Unachotueleza wewe:
1. Ndugai alipata uspika kwa dhamana ya chama chake.
2. Mlichokiona sio barua.

Basi acha nijadili hoja zako mbilj hapo juu japokua hazina uhusiano wowote na mada husika.

1. Ndugai kuwa spika kwa tiketi ya chama chake haimpi uhalali wa kujiuzulu uspika kwa utaratibu wowote ambao yeye anaona unafaa. Anatakiwa kufuata muongozo wa katiba maana kujiuzulu ni jambo la kikatiba lililowekewa utaratibu wake. Katiba ingeleekeza ajiuzulu kupitia kwenye chama, tusingekua na tatizo nae. Tunasikitika kusema kwamba katiba (ya sasa) haisemi hivyo mkuu.

2. Tulichokiona sio barua ila ni taarifa kwa umma juu ya kilichofanyika. Kwa mujibu wa taarifa hiyo inatueleza kwamba barua (ambayo ni kweli hatujaiona) imekwenda kwa katibu wa chama, nakala ikaenda kwa katibu wa bunge.
Unataka uione barua wewe mwenyewe ili ujiridhishe kwa kilichofanyika ? Haumwamini Ndugai, Chongolo na Katibu wa bunge ambao wote kwa nyakati tofauti wamesema barua imeenda kwa katibu wa chama na nakala yake kupelekwa kwa katibu wa bunge ?



Tazama hii
 
Hiyo sio barua ya kujiuzulu ni barua ya kutoa taarifa kuwa ameandika barua ya kujiuzulu, tunasubiri barua yenyewe ya kujiuzulu ameandikaje maana hiyo bado haijawekwa hadharani.
Aliyepelekewa barua ana hili la kusema:
 
Man,

Kasome vizuri hiyo katiba (Ibara ya 149.1.c) halafu uone kama inasema ataandika barua kwenda kwa bunge au atawasilisha taarifa kwa bunge!

Ukishaelewa ikiwa ibara husika inazungumzia barua au taarifa, kisha rudi kwenye tukio zima uone Bunge limesema limepokea nini kutoka kwa Katibu Mkuu wa CCM!!
 
udini udi ni udini udini udini udini bi shost
Kama kwa "udini" unamaanisha Uislam, basi upo sahihi 100% Uislam wangu inakukera nini? I am so proud to be a Muslim.

Kama huna dini ni tatizo lako sio langu. Mimi na dini yangu inakuuma nini?
 
Ni spika wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania nchi imeendelea kuwa na sheria mbovu za kodi na Tozo kwa sababu kiongozi wao alikua aishauri vizuri serikali na pia kitengo cha kumkataa CAG mtiifu kwa wananchi ndio kimempoteza wengi tulisikitika kwa alichokifanya ukiendelea kutetea uovu karma ipo Pascal na huyo kahukumiwa na karma kutokana na matendo yake mabovu...
 
Uwe na siku njema mkuu.
 
Sahihi kabisa Barua ameandikiwa. Toka lini barua genuine yote ikaandikwa kwa herufi kubwa halafu anayepelekewa siyo mhusika.
 
Waliomshinikiza kujiuzulu ni CCM na siyo bunge. Si muliwaona kwenye kikao kile pale ikulu, wenyeviti wa mikoa yote wa ccm pamoja na katibu mkuu wao wakitoa cheche bila huruma ikizingatiwa kuwa Ndugai ni mgonjwa na afya yake si nzuri kwa muda mrefu. Hata hayo maudhi aliyoyatamka kwenye hicho kikao cha wagogo wenzake baada kupona mafua makali ya labda omicron, bila shaka ni kutokana na maradhi hayo. Hivyo it was proper kui address barua hiyo ya kujiuzulu kwa hao waliomshinikiza kujiuzulu kwani watu hao (CCM) ndiyo wangalimung'oa huo usipika kama hangalijiuzulu. Kwa hasira walizokuwa nazo watu hawa wangaliweza hata kuufuta uanachama wake wa ccm na hivyo kuukosa hata huo ubunge wake.
 
Kwanini Chongolo aliipokea ile barua na eti kuifanyia kazi? Kwanini Katibu wa bunge kakubali copy na eti anaendelea na mchakato wa kumpata speaker? Kwanini AG yupo kimya?

Tunatengeneza taifa la mazuzu
 

Mkuu Mayalla, hiyo sio barua; ni press release kama inavyojieleza!
 
Kuna wanaosema Ndugai katumia njia sahihi sababu Bunge bado halijaanza...

Kuna wewe unayesena kakosea kui address chamani, angei address bungeni...

Au angesubiri mpaka Bunge lianze ndiyo ajiuzuru....

Which is which?
karibu
P
 
Paskali,Paskali,PaskaliiiWewe kama Learned Brother wakati mwingine ukitulia huwa unawashauri wana CCM wenzio vema.Ndugai hajakosea wala kuchanganyikiwa kwa lolote.Naamini hata wewe unaufahamu ukweli halisi.
He contradicted his resignation letter deliberetly just to comfuse Tanzanians who are straggling for The Better new Constitution.
It's just the same old Devide and Rule tactic from an old dying politicians.
 
Ukiona mapungufu madogo kama haya imagine sasa ndiyo alikua kiongozi wetu wa bunge akiratibu shughuli za bunge... Kavunja kanuni ngapi za bunge tumeona namna alivyo wapelekesha wapinzani
Kalifikisha pabaya sana Bunge la JMT.Maamuzi yake mengi kama Spika yameliumiza mno Taifa letu.He has set a very bad precedence.
Ndugai hakustahi kuwa hata mbunge kwa hulka zake hizo tulizoziona.
Ulazima wa Katiba upo dhahiri na hakuna tena dawa ya kuitibu Tanzania yetu zaidi ya hiyo.Tuanze upya,The damage is beyond repair.
 
Umeongea vyema mkuu, nchi inachezewa chezewa sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…