Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Wanafiki kamma nyie kipindi hiki mnapata tabu sana
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi ona ujanja wa spika ndugai, zaidi alikuwa ni mbabe kweli kweli. Toka enzi anaufukuzia uspika ni ubabe tu.Ndugai na ujanja wote ameshindwa kutambua itifaki timilifu za kioffisi anang'atuka vipi na procedures zipi
Nimemsikiliza katibu wa bunge jana akisema kwamba yeye amepokea nakala ya barua, barua yenyewe imeelekezwa kwenye chama na hivyo anasubiri watu wa chama watasemaje.Mkuu Paschal, unakwama wapi ndugu Hadi kushindwa kung'amua hili kuwa hiyo siyo barua ya Ndugayi kujiuzulu, Bali ni taarifa kwa umma ya alichokifanya yaani kuandika barua ya kujiuzulu.
Nje ya madaKabisa, Job hakukusudia kushauri juu ya mikopo. Job amechukizwa na utaratibu mzuri wa matumizi sahihi ya mkopo wa 1.3T, na asingependa style hiyo ifanyike tena kwani ni miongoni mwa wanaotaka mama asikamilishe hata mradi mmoja. Samia amefanya sahihi saaana.
Nchi ya Mchongo hiii Kingai katufunulia ukweli woteUsisahau yeye ni speaker batili wa bunge batili lililopatikana kwa uchaguzi batili. Laana ya kubaka chaguzi haitawaacha salama wahusika wakuu. Imeanza kwa mhusika mkuu wa Chato, imekuja kongwa, sasa tunasubiria Mahaka tuone muwakilishi atakuwa nani
Mkuu Paskali,CCM ilimpendekeza tuu, baada ya kuchaguliwa, anakuwa ni Spika wa Bunge la JMT na sio Spika wa CCM!, hivyo hata kujiuzulu, anajiuzulu kwa kumuandikia Katibu wa Bunge na sio Katibu wa CCM!. Kama Spika wa Bunge anayepaswa kuijua katiba na kuifuata, anaweza kujiuzulu kwa barua ya kienyeji namna hii, then this is a disgrace kwa nafasi ya Spika!.
Kama umefuatilia hilo sakata vizuri, utagundua kwamba ni kweli Ndugai aliituma barua ya kujivua uspika kwa katibu wa chama na sio kwa katibu wa bunge.Hii sio barua ya kujiuzulu, hii ni taarifa kwa umma, barua ya kujiuzulu ilishaenda inako husika, vipi mnakuja kwa pupa?
Wewe ndio umejibu bandiko lote.Hii serikali ina mambo mengi ,ukute ata ndugai kaletewa barua ma makachero wa ccm asaini uku ameshikiliwa AK47 achague moja uhai au risasi. Na ndo hao hao waliopeleka barua sehemu ambayo sio sahihi sababu hawajui utaratibu maana ndani ya ccm vichwa maji ni wengi....natania tuu.
Kwanza kaandika kwa herufi kubwaHii sio barua ya kujiuzulu,,Bali ni taarifa kwa imma kwamba ameshaandika barua ya kujiuzulu. Ndio maana Haina mfumo maalumu wa barua
Ndugai anataka kufanya kitu kama alichofanya Prof Lipumba, yaani baadae upepo ukitulia anarudi na kusema kanuni hazikufuatwa kwahiyo yeye bado ni spika halaliWanabodi,
Naomba kuanza kwa declaration of Interest
Kwa vile mimi ni mmoja wa waandishi wachache waliowahi kuitwa kuhojiwa na Kamati ya Bunge kwa maandiko yangu, ya kulituhumu Bunge kujipendekeza kwa serikali, hivyo inaweza kuonekana nafurahia kinachompata Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai!. No!. Huyu ni Mkuu wa Mhimili wa Bunge wenye jukumu la kuisimamia serikali, haitakiwa Spika kujipendekeza kwa Executive, inambidi Mkuu wa Executive amuogope na kumheshimu Mkuu wa Bunge na Mahakama, siungi mkono jinsi Job Ndugai alivyodhalilishwa vile pale juzi.
Hili ni bandiko la kupinga ubatili unaendelea katika hili sakata la Spika. Baada ya Spika wetu Job Ndugai kutoa yale matamshi ya ukweli ya kizalendo kwa taifa letu kuhusu mikopo na deni la taifa, halafu akaja kuikana kauli yake na kuomba msamaha batilifu, kwanza niliuliza, Viongozi wetu wanapofanya makosa ya wazi waishie tu kuomba msamaha kisha 'life as usual', au tujenge utamaduni wa kuwajibika kama enzi za Nyerere? kisha nikauzungumzia msamaha batilifu, Ndoa halali, ndoa batili na ndoa batilifu. Je, wajua pia kuna msamaha halali wa kweli, msamaha batili na msamaha batilifu? Msamaha ule ni batilifu! ambao ulikataliwa, na mara baada ya msamaha huo kukataliwa nikauliza tena Baada ya maneno haya ya Rais Samia, kama ni timamu, je, tumshauri to do "The needful?" au akomae nao, till they do him away?
Jana barua hii ya kujiuzulu uspika
View attachment 2071447
imesambaa kote. Kama ni kweli hii ndio barua ya Spika Job Ndugai kujiuzulu uspika, na sio fake, then tumsamehe bure Mhe. Job Ndugai, huku kutakuwa ni kutokana na kuchanganyikiwa tuu, barua hii nayo ni barua batilifu!. Iko addressed to a wrong person and to a wrong Institution. Bunge ni mhimili, Mkuu wa mhimili wa Bunge hawezi kujiuzulu kwa barua batilifu na tukaacha tuu hivi hivi, what precedence tunaweka for records?.
Nashauri barua hii ikataliwe, Spika aandike a proper letter ya kujiuzulu kwenye a proper Bunge letterhead kama hii View attachment 2071452
Nakiri nimekuwa inspired kupandisha bandiko hili baada ya kumsoma mwana je huyu
Mkuu Yohane Mbatizaji, johnthebaptist
it's true Job kachemsha!, barua ya kujiuzulu uspika ilipaswa kupelekwa kwa katibu wa Bunge, CCM ndio wanapewa copy. Spika wa Bunge ni Spika wa Bunge la JMT na sio Spika wa Bunge la CCM. Usika wake ni kwa mujibu wa katiba, na kujiuzulu pia kumeelekezwa na katiba anaandika barua kwa nani, na sio kwa CCM!.
CCM ilimpendekeza tuu, baada ya kuchaguliwa, anakuwa ni Spika wa Bunge la JMT na sio Spika wa CCM!, hivyo hata kujiuzulu, anajiuzulu kwa kumuandikia Katibu wa Bunge na sio Katibu wa CCM!. Kama Spika wa Bunge anayepaswa kuijua katiba na kuifuata, anaweza kujiuzulu kwa barua ya kienyeji namna hii, then this is a disgrace kwa nafasi ya Spika!.
Huu sio utaratibu wa kufuata wakati wa kujiuzulu kwa Spika wa Bunge. Ingekuwa anajiuzulu kwa kujivua uanachama wa CCM hivyo kupoteza uSpika hapo ndipo anapeleka barua ya kujiuzulu kwenye chama chake, hata angekuwa amejiuzulu ubunge, barua ya kujiuzulu inakuwa addressed kwa Spika wa Bunge. Japo chama ndicho kimemdhamini kugombea ubunge, na uspika lakini baada ya kuchaguliwa mbunge au Spika, umechaguliwa na Watanzania/Bunge la JMT, unawajibika kwa Bunge na sio kwa chama chako.
Kikatiba, Spika wa Bunge akijiuzulu anatakiwa kufanya kutumia Ibara ya 149(1)(c) ya Katiba ya JMT inayosema iwapo Spika wa Bunge atajiuzulu, basi taarifa ya kujiuzulu aliyoiandika na kuitia sahihi yake ataiwasilisha kwenye Bunge.
Inakuwaje anaipeleka kwenye chama na Bunge lipokee nakala kutoka kwenye chama? . Msameheni bure tuu, Spika atakuwa amechanganyikiwa, maada kwa jinsi alivyokuwa anauringia na kuutambia, "mimi ni mhimili" halafu ghafla unatakiwa kuutema uspika, hata ningekuwa mimi, lazima mtu uchanganyikiwe!
Naendelea kusisitiza Shurti la kudhaminiwa na chama kugombea uchaguzi, ni shurti batili kwa mujibu wa Katiba, linatutia hasara, tulifute!.
Bunge ni mhimili, Spika anapatikana kwa mujibu wa katiba, na akijiuzulu pia anajiuzulu kwa mujibu wa katiba, hawezi kujiuzulu tuu hivi kienyeji enyeji kwa ubatili na kukubaliwa, hata kama ni kujiuzulu, then ajiuzulu kwa mujibu wa katiba, kama kifungu hiki kilivyoeleza
Mkuu Ukwaju thanks kwa kifungu hicho.
Hii tabia ya kuacha na kupuuzia mambo madogo madogo haya ya ubatili, it is now unbecoming, kuna siku tutajikuta tunatengeneza taifa la ubatili. Kama Katiba ndio sheria mama, na imeelekeza jinsi ya kufanyika kwa jambo fulani, there is no options and no negotiations katiba ifuatwe ajiuzulu properly kwa mujibu wa katiba na kujulia mafao yake manene ya 80% ya mshahara na marupurupu ya Spika.
Nakutakia Kustaafu Kwema, ndugu yangu na rafiki yangu, Job Ndugai.
Paskali
Pascal, unashangaa nini? Nyie siku zote mlikuwa mkiunga mkono Bunge, CCM na serikali kutoheshimu katiba ya nchi. Mazoea ya kutoheshimu katiba ya nchi ndiko kumemfanya Ndugai akiandikie chama chake kwani kwake chama ndicho kinashika hatamu, Bunge liko chini ya CCM! Na CCM kwa kujitambua kwake kuwa imeshika hatamu imeipokea barua hiyo na kumuona Ndugai ni mtiifu kwa CCM!Wanabodi,

Kinachowahusu CCM ni uanachama wa Ndugai tu. Sio uspika wake.Mkuu Paskali,
Sidhani kama Ndugai amekosea!! Tusisahau kwamba, Ndugai aligombea Uspika kwa Tiketi ya CCM!! Kwa maana nyingine, ni CCM ndio walimtuma na kumhidhinisha akagombee!!
Leo anapoamua kujihudhuru, analazimika KWANZA kuwajuza waliomtuma na kumdhamini kwamba, kazi mliyonituma IMENISHINDA na kwahiyo naomba nijihudhuru!
Lau kama angeanza moja kwa moja kwa Katibu wa Bunge, waliomtuma (CCM) walikuwa na haki ya kusema "Sisi ndio tulikupeleka pale ukawe Spika, sasa how come unajipa mamlaka ya kujihudhuru kabla hujapata baraka zetu KWANZA!!
Kumbuka, wakati Katibu wa Bunge kama Katibu wa Bunge hana mamlaka ya kumfuta kazi, CCM walikuwa na mamlaka ya kumfuta uanachama na uspika wake ukaishia hapo, na Katibu wa Bunge wala hawezi kusema "hata kama mmemfuta uanachama, bado huyu ni spika halali kwa sababu ni Mbunge wa JMT na sio wa CCM!!
Job amechanganyikiwa kweli kweli.....ni vyema lakini ajiuzulu sasa rasmi kwa utaratibu wa kikatiba kuendelea na uspika itakuwa fedheha kwake.Inakuwaje anaipeleka kwenye chama na Bunge lipokee nakala kutoka kwenye chama? . Msameheni bure tuu, Spika atakuwa amechanganyikiwa, maada kwa jinsi alivyokuwa anauringia na kuutambia, "mimi ni mhimili" halafu ghafla unatakiwa kuutema uspika, hata ningekuwa mimi, lazima mtu uchanganyikiwe!
Shikamoo mama mkubwa...heri ya mwaka mpya 2022.Haimuhusu.
Aliyechanganyikiwa mwengine, sio "mama".
Mkuu salama? Hakika kweli alochanganyikiwa mwenginee, mama haimuhusu. Wamwache mama afanye kazi ya kufungua na kujenga nchi. Mama amenifurahisha sanaaa, msamaha wa kinafki ule. Mama amesimama kama mkuu wa nchi, mama apige chini washamba wote.Haimuhusu.
Aliyechanganyikiwa mwengine, sio "mama".
Assalaam Aleykum ndugu katika ImaanHaimuhusu.