Msameheni Bure wasomi wetu.....

Msameheni Bure wasomi wetu.....

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
5,715
Reaction score
13,739
Juzi nilimsikia mheshimiwa rais mama samia suluhu hassan akisema vigogo waliopo serikalini kama Wana Nia ya kugombea nafasi yoyote basi waseme mapema ili mama atafute watu wengine wakujaza nafasi hizo, Kuna baadhi ya vigogo wakubwa walitamani wasikie mama samia aseme sigombei tena ili wao wachukue fomu na wagombee. Kipindi hiki kuelekea uchaguzi tutasikia matamko mengi sana, matamko mengine yanasababishwa na hasira kwa hiyo naomba sana wasomi wetu msameheni Bure ni hasira Tu😀
截屏_20250312_181142.jpg
 
Back
Top Bottom