billduke
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 860
- 898
Uwoya akinipa sipigi
Najua kwanini.
Tuambie kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uwoya akinipa sipigi
Najua kwanini.
Huyo Msami baby ni ME au KE?Staa wa Bongo Fleva, Msami Baby, anayetamba na kibao chake kipya cha So Fine, alichomshirikisha rapa machachari, Chemical amefungukia taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa, Irene Uwoya, alimtongoza.
Msami ambaye amevunja amri ya 6 na staa huyo wa Bongo Muvi kwa takribani miaka miwili, amefunguka kama ifuatavyo:
“Ni kweli tulikuwa wapenzi kwa muda wa miaka miwili, ila swali la nani alianza kumtongoza mwenzake hilo halina umuhimu hivyo siwezi kuliongelea.
“Kwa mara ya kwanza tulikutana lokesheni kwa ajili ya kushuti muvi yake ambayo ilinihitaji kutokana na uwezo wangu wa kucheza, hapo ndipo mahusiano yetu yalipoanzia, na mpaka sasa hakuna aliyewahi kumtamkia mwenziye kwamba amemuacha, tuliachana hewanihewani tu.”
muungwana