elizabeth alex
New Member
- Aug 20, 2014
- 4
- 1
Kaka hata mi nadhani angemfuata ingekuwa busara zaidi.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
kwani si kila mtu ana mamuzi yake bana yeye yupo uko kivyake na kama millard ayo hana mipango yakuwa uko aliko nini mbaya.
ila huyu mchaga anajua kuongea alikua anatoa tofauti iliopo nchi nyingine mpaka raha
jana mkasi nilifurahi sana kipindi kizuri sana kile.
WanaJF nimemsikia aliyekuwa Mtangazaji wa TBC Joseph Msami kwenye kipindi cha Mkasi EATV akidai kuwa ndiye aliyempokea Milard na kumfundisha kazi enzi hizo Wapo Radio ila kilio chake kwake kila siku ni dogo kwenda shule coz hata kama atavuma kiasi gani kuna sehem atakwama kwasababu ya Elimu yake,hivi ni kweli dogo shule hakuna?
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kumbe wapare ni wapumbavu sana (siyo wote) hivi Uprofesa wa Magembe unawasaidia nini hapo Bongo?
Mm naona n wivu tu
Bakhresa hakwenda xul kabisa .
Hakuna elimu iliyo kubwa zaidi ya kujitambua na kufahamu iwapo malengo yako yanakamilika au la?sasa hivi huyo anaemsema mwinzie yeye anatushawishi vipi. Ilitufahamu kuwa anaelimu zaidi ya mwenzake?????Fahamu kuwa kiwango cha elimu hakipimwi kwa cheti chochote kile bali kinapimwa kwa uwenzo wa mtu kutatua changamoto ktk maisha na kuishi maisha yasio na dhiki hiyo ndio tofauti ya mtu mwenye Elimu na asiyekuwa nayo sasa jitadhimini wewe na yeye nani mwenye elimu??
Kaka hata mi nadhani angemfuata ingekuwa busara zaidi.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Kwanini mnauchukulia huu ushauri kama udhalilishaji?
Msami ni mpare...
Kama ana mipango ya kubuild career yake hana ujanja inabidi asome tu akareseat,atapenyaje kwenye vituo vikubwa kwa elimu yake ndogo?? Sababu talent anayo kubwa sana ila shule itamkwamisha.
Ila kama hapo ndio amefika climax ya dreams zake sio mbaya apige tu kazi,coz clouds hawajali sana shule bali talents . Yani kama anaupeo unaoona anapostahili kuwwpo ajachelewa kupiga shule ata online.