Msami amshauri Millardayo aende shule

Msami amshauri Millardayo aende shule

Kumbe wapare ni wapumbavu sana (siyo wote) hivi Uprofesa wa Magembe unawasaidia nini hapo Bongo?
 
kwani si kila mtu ana mamuzi yake bana yeye yupo uko kivyake na kama millard ayo hana mipango yakuwa uko aliko nini mbaya.
ila huyu mchaga anajua kuongea alikua anatoa tofauti iliopo nchi nyingine mpaka raha
jana mkasi nilifurahi sana kipindi kizuri sana kile.

Msami ni mpare...
 
WanaJF nimemsikia aliyekuwa Mtangazaji wa TBC Joseph Msami kwenye kipindi cha Mkasi EATV akidai kuwa ndiye aliyempokea Milard na kumfundisha kazi enzi hizo Wapo Radio ila kilio chake kwake kila siku ni dogo kwenda shule coz hata kama atavuma kiasi gani kuna sehem atakwama kwasababu ya Elimu yake,hivi ni kweli dogo shule hakuna?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

hapo kwenye red....yeye ndiye aanze kwenda shule. uhusiano binafsi huwezi kuuanika hivyo....hiyo inadhihirisha asivyostaarabika. Anaposema alimpokea kwani yeye Msami ndiye mmiliki au mkurugenzi wa Wapo Radio? Au ukikabidhiwa mfanyakazi mpya wakati wa induction ndiyo unajitapa kuwa ulimpokea.

Tatizo la msami ni mtu anayependa kujitapa na kujifanya msomi sana ilhali tunajua watangazaji wengi ni div iv au zero. Tena wengi wa walio radio wapo ndiyo sifuri kabisa.
 
Kumbe wapare ni wapumbavu sana (siyo wote) hivi Uprofesa wa Magembe unawasaidia nini hapo Bongo?

We ndio mpumbavu unataka uprofesa wa magembe ukusaidie wewe badala ya ndugu zake,we babako alikuwa wapi wakati wenzie wanasoma.
 
Mm naona n wivu tu
Bakhresa hakwenda xul kabisa .

Kama ana mipango ya kubuild career yake hana ujanja inabidi asome tu akareseat,atapenyaje kwenye vituo vikubwa kwa elimu yake ndogo?? Sababu talent anayo kubwa sana ila shule itamkwamisha.

Ila kama hapo ndio amefika climax ya dreams zake sio mbaya apige tu kazi,coz clouds hawajali sana shule bali talents . Yani kama anaupeo unaoona anapostahili kuwwpo ajachelewa kupiga shule ata online.
 
Hakuna elimu iliyo kubwa zaidi ya kujitambua na kufahamu iwapo malengo yako yanakamilika au la?sasa hivi huyo anaemsema mwinzie yeye anatushawishi vipi. Ilitufahamu kuwa anaelimu zaidi ya mwenzake?????Fahamu kuwa kiwango cha elimu hakipimwi kwa cheti chochote kile bali kinapimwa kwa uwenzo wa mtu kutatua changamoto ktk maisha na kuishi maisha yasio na dhiki hiyo ndio tofauti ya mtu mwenye Elimu na asiyekuwa nayo sasa jitadhimini wewe na yeye nani mwenye elimu??
 
Kaka aya unayoyasema ni sahihi, ila kuna sehemu unaweza kuitaka ukakwama sababu umekosa "sifa" . Ili kuepusha mikwamisho isiyo ya lazima ni vema ukapiga shule tu .
 
Naunga mkono hoja shule ni ya muhimu sana,

Huwezi kujivunia kipaji thenly kichwa kitupu, elimu ni substance assert ambayo haiharibiki,
Wakina Ruge n so on wanapenda empty minded people like Milard so that to enlarge themselves economically in the name of exploitation.
 
Public unatoa personal advice..
Tena kwa kumuita 'DOGO'
NINA MASHAKA SANA NA ELIMU YA MSANI,
YEYE KAONEKANA ZERO KABISA.. STUPID HIM.
 
Ushauri mzuri kabisa.. Millard ni form fou leaver na anacheti tu hata Diploma hana ika malengo yake nikufika mbali.. kama bado hayo malengo anayo lazima akubali kurudi darasani ingawa kwenye mkasi alishawahi kusema yeye darasani alikuwa anafeli shule ilimshinda.
 
Shule ni nini? Bila shaka kila mtu ana tafsiri tofauti juu ya neno shule, mtu km ni role model c vibaya kushauriwa publically, Msami is right from my point of view
 
Kama ana mipango ya kubuild career yake hana ujanja inabidi asome tu akareseat,atapenyaje kwenye vituo vikubwa kwa elimu yake ndogo?? Sababu talent anayo kubwa sana ila shule itamkwamisha.

Ila kama hapo ndio amefika climax ya dreams zake sio mbaya apige tu kazi,coz clouds hawajali sana shule bali talents . Yani kama anaupeo unaoona anapostahili kuwwpo ajachelewa kupiga shule ata online.

teh teh teh

Leo umeona umuhimu Wa shule sio?
 
Back
Top Bottom